malumbano ya hoja itv ni upuuzi..

Kirode

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
3,566
82
naangalia malumbano ya hoja itv sasa hivi naona ni upuuzi mtupu bora kifutwe . sioni mantiki mtu akionekana anaelekea kuiponda serekali anaingiliwa na watangazaji bila sababu , pili muda wa kuchangia unaambiwa dk. 2 huu ni upuuzi .utaongea nini kwa dk 2 ???? uhuni mtupu....itv ni hovyo.. bigi rizati nao. karibuni kwa michango...
 
Back
Top Bottom