Malumbano ya hoja ITV leo vipi?

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
malumbano ya hoja itv leo vipi?
kila alhamis kuna kipindi cha malumbano ya hoja kwenye luninga ya itv saa tatu na nusu usiku leo nimeweka itv saa tatu na nusu usiku kipindi cha malumbano ya hoja hakipo tatizo ni nini?
 
Leo hakuna kuna kipindi maalum
 
watu wa mazingira wamelala mbele,maana wangeweza kula kichapo ndani ya malumbano kuhusu bomoa bomoa zao za kiboya.
 
Kulumbana inahitaji moyo,yawezekana ishu ilikuwa ya zanzibar lumumba wakasepa na Nape wao
 
Wageni kutoka Baraza la Mazingira la Taifa(NEMC) wametoa udhuru dakika za mwisho na kusababisha kipindi kuota mbawa.

Nadhani wamekimbia mjadala maana leo bila shaka wangeshambuliwa sana.
 
Back
Top Bottom