kwa ufupi kuna mambo mengi ya kushughulikia ili kumaliza tatizo la wachina nchini, ninaloliona mimi ni kutokuwa wakali juu ya utekelezaji wa sheria zetu kwa ujumla wake, siasa inatawala maamuzi mengi ya msingi katika nchi na wanasiasa kuwa na "interest" na wageni hao katika sura tofauti tofauti.