Malumbano ITV: Wachina kufanya kazi ambazo watanzania wa kawaida wanaweza kuzifanya inasaidia kuleta

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Wachangiaji waliowengi wamekataa kuwa si maendeleo. Nimependa sana wageni wa leo.
Wamejitahidi kuonesha usomi wao ila kuna kijana mmoja anasema kuna benki ya vijana na
akajibiwa kuwa hiyo ni ya CCM (UVCCM) na kuwa atakuwa na asilimia sifuri.
 
Wachangiaji wanazidi kuficua mambo. Mchangiaji amesema kuwa sheria mpya ya uwekezaji inampa mamlaka waziri kutoa msamaha wa kodi bila kumuuliza mtu yeyote. Akatoa mfano wa airtel walivyjichubua bila kurejea kwa TRA.
 
Hizo maada za kibaguzi-baguzi inabidi kuwa makini nazo watu wanaweza kupigwa kung-fu- Any way nilikuwa napita tu
 
Siasa katika masuala yanayohitaji utaalamu ndio yanatufikisha hapa tulipo.
Ila kwa upande mwingine tukumbuke kuwa wachina ni wajanja sana, walifungua milango kwao tukaenda na tukawa tunafanya shughuli hizo hizo za kimachinga kule kwao.Kwa hiyo ni kama jino kwa jino.Kuna waafrika wengi sana wakiwemo watanzania wapo China wanafanya shughuli za uchuuzi na hakuna wa kuwasumbua .
 
kweli wachina wanakaba ni noma..wanaziba hadi pancha za baiskeli..!!
 
hata mimi nimewasikiliza kwa umakini sana, michango ni mizuri ila wengi wako shallow sana juu ya masuala muhimu ya taifa lao....wanahitaji semina elekezi
 
kwa ufupi kuna mambo mengi ya kushughulikia ili kumaliza tatizo la wachina nchini, ninaloliona mimi ni kutokuwa wakali juu ya utekelezaji wa sheria zetu kwa ujumla wake, siasa inatawala maamuzi mengi ya msingi katika nchi na wanasiasa kuwa na "interest" na wageni hao katika sura tofauti tofauti.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom