Malori ya usafirishaji

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Kwa huduma ya usafirishaji mizigo ya aina yoyote ndani na nje ya Tanzania, tunasafirisha mizigo kwa gharama nafuu na uangalizi wa hali ya juu.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba hizi +255784207307; +255713437713
 
Kodi unalipa ipasavyo.......au ndio nyinyi wenye malori kumi kwa namba moja ya usajili?
 
Kodi unalipa ipasavyo.......au ndio nyinyi wenye malori kumi kwa namba moja ya usajili?

Mkuu, hiyo tena ni kazi yako kweli kujua mambo ya kodi?..Hata akilipa unadhani inapona huko ilikolipiwa?..Asante mamaangu/babaangu kwa taarifa...tutakusaka.
 
Mkuu, hiyo tena ni kazi yako kweli kujua mambo ya kodi?..Hata akilipa unadhani inapona huko ilikolipiwa?..Asante mamaangu/babaangu kwa taarifa...tutakusaka.

Mkuu si kaja kututangazia JF? JF tunamfagilia raia safi bana sio kila mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom