Malkia wa mtandaoni akamatika

Story yako ni nzuri wajua kupangilia visa na kuamsha msisimko kwa msomaji. Ila umenikera tu kwa kukosea methali ya kiswahili pale uliposema "mwendapole marejeo ngamani" ili hali ilitakiwa kuwa
"Mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani" yaani ikitokea kurupushani kwa mfano kwa vyombo vya majini km vl ngalawa,mtumbwi nk utaenda mbele na kurudi nyuma(tezi na omo) kwa kuhangaika lkn mwisho utarudi ktkt ya chombo(ngamani)
 


Mkuu shukrani sana. nilipokuwa naandika nilistuck eneo hilo kwa dakika kadhaa nikiikumbuka methali hiyo. Ahsante sana kwa masahihisho kiongozi. Tupo pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…