Malkia Elizabeth na Viongozi wa TAA, 1953

Malkia Elizabeth na Viongozi wa TAA, 1953

Nina hakika hapa kuna photoshop; picha ya Nyerere mwaka 1953 hawezi kua hivo, alikua kijana sana. Hapa teknolojia imefanyika
Asante sana mkuu huu ni uongo...Nyerere na Malkia hawakuwa na huo muonekano kwani walikuwa vijana
 
Badala ya kutuletea umbeya huu, bora Mzee MS angejikita kusifia utanashati, utajiri na magari ya kifahari kama Mercedes Benz SE ya Sykes whoever (Can't tell the difference between them, and wouldn't care less which is which.) ya enzi hizo. Mzee mbeya wewe na mwongo, tunakujua vizuri. Tupe za Nyerere bila kumtaja Sykes. Kama kweli una weledi mkosoe Nyerere kwa lolote bila kuwataja hao Miungu Watu wako Sykes.
Kwanza anapotosha kwa kichwa habari eti Malkia Elizabeth na Viongozi wa TAA, 1953! Hii inatoa taswira kwamba huyo malkia aliwahi kukutana na viongozi wa TAA alipoitembellea Tanganyika mwaka 1953.

Pili, Tanganyika haikuwa koloni la Uingereza na Malkia wao hangeweza kuitembelea na badala yake mdogo wake Princess Margaret ndiye aliyeitembelea Tanganyika mwaka 1956 lakini wakati huo TANU ilishaundwa.

Kwa kweli Mohamed Said anajua namna ya kuchanganya karata zake ili wale waumini wake waendelee kumuenzi. Ni kweli mwaka 1953, Mwalimu Nyerere alichaguliwa kuwa President wa TAA bila upinzani.

Mpaka anachaguliwa TAA haikuwa na President baada ya Wakoloni kumfanyia fitna aliyekuwa Rais wake muasisi Dr. Vedasto Kyaruzi na kumhamishia mbali na Dar es Salaam ili asiweze kutekeleza majukumu yake.

Pamoja na kukosa Urais wa TAA, mjomba wake Mohamed Said, Abdulwahid Sykes hakukata tamaa kwani mwaka uliofuatia,1954, baada ya kuasisiwa TANU aliamua kujipima nguvu tena na Julius Nyerere.

Katika uchaguzi uliofanyika kumpata President muasisi wa TANU, kwa mara ya pili aliangukia pua na baada ya hapo hakusikika tena katika harakati za kisiasa hadi Tanganyika ilipopata uhuru wake mwaka 1961.

Kwa kweli Mwalimu Nyerere hakuwa na mpinzani.
 
Mag3,
Mimi nashukuru kitu kimoja nacho ni kuwa kwa kumrejesha Abdul Sykes katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika nimesaidia kuwaleta watu kama wewe ndugu yangu katika kuijua historia ya kweli.

Nafarajika ninapokusoma ukiipitia historia yangu na ukaeleza historia hii kwa jinsi unavyoona kuwa ndivyo inavyotakiwa kuwa.

Nafurahi jinsi unavyomueleza Abdul Sykes na kusema kuwa Nyerere alikuwa kadha wa kadha.
Haya yote leo unayasema kwa kuwa mimi nimeandika.

Vinginevyo ungebaki na historia ya Chuo Cha CCM Kivukoni.

Tafuta series ya Walking dead
Ed...
Ahsante.
Nimetosheka.

In the wake of a zombie apocalypse, various survivors struggle to stay alive. As they search for safety and evade the undead, they are forced to grapple with rival groups and difficult choices.
 
Mag3,
Mimi nashukuru kitu kimoja nacho ni kuwa kwa kumrejesha Abdul Sykes katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika nimesaidia kuwaleta watu kama wewe ndugu yangu katika kuijua historia ya kweli.

Nafarajika ninapokusoma ukiipitia historia yangu na ukaeleza historia hii kwa jinsi unavyoona kuwa ndivyo inavyotakiwa kuwa.

Nafurahi jinsi unavyomueleza Abdul Sykes na kusema kuwa Nyerere alikuwa kadha wa kadha.
Haya yote leo unayasema kwa kuwa mimi nimeandika.

Vinginevyo ungebaki na historia ya Chuo Cha CCM Kivukoni.

Wee Mzee, JEE bila ya michango ya hao Sykes, hii nchi isingepata UHURU? How about you try to make some coherent, straight forward, valid arguments from that specific point of view to convince us of the facts thereof? Far as i can tell, you have failed miserably.
 
Wee Mzee, JEE bila hao Sykes wako, hii nchi isingepata UHURU?
Gold...
Kwa nini unaghadhibika?
Huu ni mjadala tu tunabadilishana fikra hapana haja ya kunishambulia kwa maneno makali.

Hata kama Sykes wasingekuwapo Tanganyika ingekuwa huru.

Asingekuwapo Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh Muhammad Yusuf Badi, Sheikh Abdallah Rashid Sembe, Ali Migeyo kwa kuwataja wachache na imekutajia hawa kwa kuwa nina hakika kabla ya mimi kuandika historia hii tunayojadili hukuwa umepatapo kuyasikia majina hayo kuwa walikuwa mstari wa mbele katika TANU.

Wasingekuwapo wazalendo wengine kama Dr. Vedasto Kyaruzi, Dr. Luciano Tsere, Dr. Michael Lugazia, Joseph Mutahangarwa, Dr. Joseph Mutahangarwa na Dr. Wilbard Mwanjisi uhuru ungepatikana.

Hawa wamefutwa pia kwenye historia ya TANU lakini walikuwa na mchango mkubwa.

Ningeweza kukupa majina mengi tu hadi ya wanawake akina Zarula bint Abdulrahman, Bi. Tatu bint Mzee, Mama bint Mwalimu, Amina Kinabo, Shariffa binr Mzee mengi, mengi, mengi.

Umewataja akina Sykes:

Gold...
Kwa nini unaghadhibika?
Huu ni mjadala tu tunabadilishana fikra hapana haja ya kunishambulia kwa maneno makali.

Hata kama Sykes wasingekuwapo Tanganyika ingekuwa huru.

Asingekuwapo Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh Muhammad Yusuf Badi, Sheikh Abdallah Rashid Sembe, Ali Migeyo kwa kuwataja wachache na imekutajia hawa kwa kuwa nina hakika kabla ya mimi kuandika historia hii tunayojadili hukuwa umepatapo kuyasikia majna hayo kuwa walikuwa mstari wa mbele katika TANU.

Wasingekuwapo wazalendo wengine kama Dr. Vedasto Kyaruzi, Dr. Luciano Tsere, Dr. Michael Lugazia, Dr. Joseph Mutahangarwa, Dr. Joseph Mutahangarwa na Dr. Wilbard Mwanjisi uhuru ungepatikana.

Hawa wamefutwa pia kwenye historia ya TANU lakini walikuw ana mchango mkubwa.
Ningeweza kukupa majina mengi tu hadi ya wanawake akina Zarula bint Abdulrahman, Bi. Tatu bint Mzee, Mama bint Mwalimu, Amina Kinabo, Shariffa binr Mzee mengi, mengi, mengi.

Umewataja akina Sykes:

Acha usanii wako wee mzee. Ukibanwa ndiyo ghafla unakuja na majina kibao ya Waislamu wenzako, unaowajua wewe kama vile TANZANIA ni nchi ya Kiislamu, si ndiyo? Kabla ya hapo ilikuwa wimbo wa SYKES hiki SYKES kile. Kila kitu SYKES.
 
Hayo majina yamekuwapo katika kitabu cha Sykes toka kilipochapwa 1998.
Hii ndiyo historia ya TANU huwezi kuiandika usiwataje Sykes hata kama haikupendezi.

Waliojaribu kuwafuta wakaandika historia ya TANU na uhuru bila ya kuwataja hatari yake sasa sote tunaijua.

Leo tanasoma upya historia ya Julius Nyerere.

Kama hupendi kusoma majina ya Waislam katika historia ya uhuru hii ni bahati mbaya sana kwako kwa kuwa utakuwa unaungua roho daima kwani historia hii haifutiki tena.

Naam hakika Sykes kile, Sykes hiki.

Vita Vya Kwanza vya Dunia 1914 wapo
Vita Vya Pili Vya Dunia 1939 wapo.

African Association 1929 wapo.
Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika 1933 wapo.

Maulid Commitee wapo.
Dar es Salaam Municipal Council wapo.

Dar es Salaam Chamber of Commerce wapo.
Tanganyika Legion wapo.

Dar es Salaam Dockworkers Union 1948 wapo.
TAGSA 1950 wapo.

TAA 1950 wapo.
TANU 1954 wapo.

Fikiria mtu akupe nyaraka za vipindi hivi vyote usome na kukueleza yote yaliyopitika.

Mimi hakika baada ya kufunguliwa mafaili yao ikawa kama vile nimeingizwa kwenye kisiwa chanye hazina.

Najiuliza haya yote yamewezekanaje?
Usidhani nafanya utani.

Hata mimi najiuliza imekuwaje kuwa hivi na vyombo vingi vimefika kwangu kunifanyia mahojiano kama unavyoona hizi video wanataka kujua historia ya Sykes.

Sikutegemea kabisa kama kitabu cha Sykes kitakuja kubadili historia ya Tanganyika.

1651781593188.png

Kushoto Kleist Sykes, Abbas Sykes, nyuma kulia Abdulwahid Sykes na Ally Sykes 1942​

Mzee umetokea kulitukuza hili jina la "SYKES" sababu ni ukoo wako tu, lakini ukweli ni kwamba "SYKES" ni Wamanyema na Wazulu na hawana uasilia wa Watanganyika.
 
Mzee umetokea kulitukuza hili jina la "SYKES" sababu ni ukoo wako tu, lakini ukweli ni kwamba "SYKES" ni Wamanyema na Wazulu na hawana uasilia wa Watanganyika.
Gold...
Hakika.
Mimi ni kizazi cha nne cha Wamanyema kutoka Belgian Congo.

Tuko kizazi cha sita sasa ingawa hawa wamezaliwa mbali sana na hapa na hawajapata kufika nyumbani.

Babu yangu mkuu aliingia Germany Ostafrika akiwa askari katika jeshi la Wajerumani mwishoni mwa miaka ya 1800 halikadhalika na bibi yangu mkuu Safia bint Farjallah angalia picha yake ya 1965 hiyo hapo chini aliingia nchi hiii akiwa mtoto mdogo.

Situkuzi chochote ila hii ni historia ya wazee wangu na nimeiandika kama ilivyokuwa.

Bahati mbaya kwako hukupenda wazee wangu wafanya yale waliyofanya katika kupambana na ukoloni.

1651779257236.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom