muuza ugoro
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 334
- 61
nilishangaa WaTanganyika baada ya kupewa mkwala kwamba muungano ni serkali.2 kwa katiba mpya ima ya zamani! Sasa nimefarijika kuona wametoka bungeni!Wadau, Hebu tupeane michapo ambayo inamaliza kwa neno 'Nilifarijika sana' Mfano mimi niliposikia boda boda zimeondolewa kodi nilifarijika sana
Wadau,
Hebu tupeane michapo ambayo inamaliza kwa neno 'Nilifarijika sana'
Mfano mimi niliposikia boda boda zimeondolewa kodi nilifarijika sana
Nilifarijika sana muuza ugoro alipoleta uzi.
Nilifarijika ulipomjibu muuza ugoro
Nilifarijika Sana kusoma huu upumbavu
Nilifarijika Sana -------- kusoma na kisha kujibu Upumbavu wa Wapumbavu wenzake.
Nafarijika sana hata ukipost upumbavu wanakuja wapumbavu wankujibu
Nafarijika sana Wapumbavu wanazidi kumiminika kujibu Upumbavu.