Wala cyo kuridhika bal anakuwa amekereka coz wanaume wengine michosho
Duhhh.....
tumia muda kutambuana kabla ya kupanda hilo tundu utadhani bodaboda ya kusukumaHuu ni msemo wa baadhi ya wanawake wanapokuwa faragha, mpenzi wangu mara nyingi nikienda dk 5 na zaidi huniambia hivyo, je ni kuridhika au ni kukereka... Nikimuuliza wewe tayari anasema ndiyo....! Je anadanganya?
heee!!!mmmm!!hapo kuna ulakini hata anapomaliza hujui!watu huwa tunajua hata zinapokuwa njiani zinakuja,na muda huo wa dk 5mbona ni mfupi sana! kwa maoni yangu atakuwa ana keleka.
He he he, ujue uefa champions league kuwapa kombe la mbuzi ni kujichosha tu?! Wanakuchukulia kama kitu kwa ajili ya museum yao tu.
Huu ni msemo wa baadhi ya wanawake wanapokuwa faragha, mpenzi wangu mara nyingi nikienda dk 5 na zaidi huniambia hivyo, je ni kuridhika au ni kukereka... Nikimuuliza wewe tayari anasema ndiyo....! Je anadanganya?
Muulize mbona wakati wa mitihani wanaomba waongezewe muda??
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Nikiambiwaga hivyo huwa natoa mpira nje na natoa wachezaj nje wapige joging na kunyoosha viungo ili pambano lianze upya kwa staili nyingine......maana huwa ni kauli ya dharau kuwa nakereka....
hebu thibitisha ww bi dada ni kweli unakuwa umkereka.......... Halafu hyo ID yako inanikumbusha mbali sana
Sometimes bana mnakera hakuna cha kubembeleza, mahaba sifuri si unajua tena sie na mood swings et al,
mtu yuko resi utadhani mashindano fulani hivi basi inamuachia tuuu ili ajione mshindi ....maliza haraka nilale basi. :juggle:
ID yangu imekukumbusha wepi tena Mgirik.... Nihadithie kiduchu
Wala cyo kuridhika bal anakuwa amekereka coz wanaume wengine michosho