Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Wanajamvi salaam.
Nimesoma uzi ufuatao hapa chini
Malisa Godlisten: Nape akae kimya, hana locus ya kuilaumu CCM wakati bado yupo humo
Ambapo kuna waraka ndani yake unaodaiwa kuandikwa na Malisa Godlisten. Sina hakika kama ni yeye hasa ameandika ila kuna circumstantial evidence zinaonesha kweli ameandika yeye. Uzi huu upo hapa jamiiforumz na muanzishaji amemu acknowledge malisa na kwa kuwa umeachwa na mods na hapa si mahali pa uzushi basi nashawishika kuamini kuwa kilichopo kwenye uzi ni cha kweli.
Kwanza nimesikitishwa na kitendo cha Malisa kutoa uzi uliokosa viwango wala hoja kama huu. Ninampinga Malisa Godlisten katika hoja zake zote kwenye uzi tajwa hapo juu kama ifuatavyo.
1. Malisa anasema Nape hana locus ya kuikosoa CCM na Serikali ya CCM kwa sababu yupo CCM na alikuwa serikalini muda mrefu na Malisa anauliza why now?. Hoja hii ya Malisa inakufa natura death, nadhani Malisa hajui maana ya neno "locus" mtu kuwa na locus ni kuwa tu na interest juu ya jambo husika, ina maana Malisa hajui kuwa Nape ana interest na CCM pamoja na Serikali?. Malisa una maanisha kuwa Raia wa nchi hii ambaye alishika uongozi serikalini anapoteza haki ya kuhoji na kuizungumzia serikali yake zaidi haki ambayo ni ya kikatiba ya uhuru wa maoni?.
Vipi Malisa anasemaje juu ya Watu kama Lowasa, Sumaye, na Mahanga ambao walikuwa serikalini na sasa ni wapinzani nao hawana haki ya kuhoji kuhusu serikali?
Je sababu ni Nape kubaki CCM hivyo haki yake ya kuhoji inapotea? Je ni kwanini tuna walaumu wabunge wa CCM wanaounga mkono kila hoja ya CCM kama mtu akiwa CCM hatakiwi kuhoji basi tuwapongeze hawa watu?
2. Malisa Godlisten alikosoa CHADEMA na uongozi baada ya kumpitisha Lau Masha na Wenje ubunge EALA je kwanini asingesubiri atoke kwanza CHADEMA ndiyo ahoji?
3. Kwa andiko hili inathibitisha ni jinsi gani Malisa asivyoheshimu uhuru wa maoni wa watu wengine na hii ni ajabu kwa mtu anayejinasibisha kuwa yupo kwenye chama cha kizazi cha kuhoji kuwa na mawazo potofu kama haya. Kwanini asimpongeze Nape kwa kuhoji serikali na CCM kama ambavyo Bashe anapongezwa kwa kufanya hivyo? Malisa ni dikteta asiyetaka watu wawe na mawazo yao hii ndiyo sababu haishi kublock watu wanaompinga kwenye akaunti yake ya Facebook. Kama kweli ni mtu anayejali mawazo ya wengine anapaswa kuwafungulia wote aliowablock kwenye akaunti yake ya Facebook na amuombe radhi Nape kwa andiko hili lisilo na hoja maridhawnatural