Katika siasa kuna makundi muhimu ambayo ukiweza kukaa nayo vizuri utashinda, nayo ni working class, elites, and farmers!! Kwa mantiki hiyo naona mbele mwanga zaidi. Kwa wakulima tuanzie tandahimba/kusini yote theni kule mashamba ya tumabaku ambayo walipelekewa dawa fake na wakala aliyeteuliwa na wizara husika, na mbegu fake, na mbolea fake, you name all. Mbona hatuamki?