Matatizoclassic
Member
- Apr 29, 2012
- 5
- 3
Habar wadau
waJF....Naomba niulze kwa yoyote mwenye kujua malipo ya sensa,mana naona
huku nilipo ata majina hayajabandikwa!
Kuna kiongozi mmoja mwepesi kidogo kwenye halmashauri tanga kaniambia kuwa ukichaguliwa kwenye dodoso refu ni 650000 na ukichaguliwa kwenye dodoso fupi ni 550000,kuanzia semina siku6 na shughuli yemyewe.
Kwa siku?
Soma sentesi mpaka mwisho ndo uulize swal mkuu katoa maelezo ya kutosha na ka2mia kiswahil cyo kichna ila bado unauliza kwa cku?? Is
We unaona hicho kiswahili kipo sawa?
We unaona hicho kiswahili kipo sawa?
Kipo sawa ebu soma sentensi yake ya mwisho
Braza kusoma hujui