maoniyangu
Member
- Jul 9, 2011
- 53
- 4
makarani wa sensa wilaya ya ilala kituo cha zawadi secondary wamegoma kula kiapo cha kufanya kazi ya sensa mpaka watakapopewa malipo ya semina ambayo hawajamaliziwa. Hakuna kinachoendelea hapa, ilibidi watu wapewe vifaa leo ila hata vifaa havijaonekana. Sidhani kama kuna sensa hapa, serikali inachezea hili zoezi.