Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,241
Habari,
Wakuu samahani sana kwa mtu yoyote anayejua malipo ya sensa kwa ujumla kwa makarani na wasimamizi wa maudhui aweke hapa huo mchanganuo maana uku mtaani kila mtu anaongea jambo lake.
Natanguliza shukulani za awali.