MMAHE JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 815 Reaction score 420 Apr 24, 2012 #1 kilio cha wanaTandahimba kimesikika, wakulima wameanza kulipwa pesa zao jana. source mimi mwenyewe.
Ulukolokwitanga JF-Expert Member Joined Sep 18, 2010 Posts 8,397 Reaction score 7,979 Apr 24, 2012 #3 CCM bana wataiingiza nchi yetu tuipendayo katika machafuko makubwa huko mbeleni. We wanadhulumu hata haki za wakulima maskini wa korosho!!! Mi nilidhani wanaiba za kodi zetu tu kumbe wanaiba hata haki ya msingi ya mkulima maskini.
CCM bana wataiingiza nchi yetu tuipendayo katika machafuko makubwa huko mbeleni. We wanadhulumu hata haki za wakulima maskini wa korosho!!! Mi nilidhani wanaiba za kodi zetu tu kumbe wanaiba hata haki ya msingi ya mkulima maskini.