Sasa hapo tatizo liko wapi mkuu, hata hoteli wana double na single, bei zinatofautiana. Licha ya ukweli kwamba hotelini kuna gharama ambazo zinaingiwa na hoteli kuwahudumia watu wawili.
Sijajua kwa guest house inakuaje, huenda mtu mmoja hachafui mashuka kwa kiwango cha watu wawili ndio maana wanatoza zaidiππ