Malipo ni hapa hapa duniani, Asante sana Polepole

Malipo ni hapa hapa duniani, Asante sana Polepole

Kilivhobaki Polepole afunguke majina ya watekaji,
 
Aisee acha Mungu aitwe Mungu. Nimeamini malipo ni hapa hapa duniani.

Tundu Lissu baada ya kushinda uenyekiti Chadema,CCM waliumia sana walianzisha mizengwe ili mumdhoofisha.

Sote ni mashahidi Lissu alipewa kesi ya uhaini, Chama chake kikanyimwa Ruzuku,na kikazuiwa kufanya siasa.

CCM waliwanunua vibaka55, na kuamia Chaumma, G55 wakanza kuishambulia Chadema,Kila siku ni press conference, walimshambulia Lissu masaa 24. Hakika Ile hali CCM waliifurahia saaana.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, ametokea Polepole,kiongozi mwandamizi wa ngazi ya juu Ndani ya CCM.

Kama kina Mrema walivyokuwa wanamnanga Lissu na Chadema ndo hivyo hivyo Polepole anawananga CCM na Samia. Tena makombora ya Polepole ni hatari kweli kweli.

Believe me kinachofanywa na Polepole kinawauma saaaana CCM na kinamuuma sana Samia, sema machawa wake wanajifanya hakuna shida yeyote.

Mungu ni mkubwa sana.

Nileteeeni Polepole
Nileteeeni mama Abdul
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
 
Aisee acha Mungu aitwe Mungu. Nimeamini malipo ni hapa hapa duniani.

Polepole anawananga CCM na Samia. Tena makombora ya Polepole ni hatari kweli kweli.

Believe me kinachofanywa na Polepole kinawauma saaaana CCM na kinamuuma sana Samia, sema machawa wake wanajifanya hakuna shida yeyote.

Mungu ni mkubwa sana.
Tuombe Mungu amnusuru. Thread 'Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.' GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
P
 
Back
Top Bottom