kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,686
Malipo (Mishahara)
Kumbuka: Mkoani Saskatchewan, sheria ya Viwango vya Kazi (The Labour Standards Act) inaelezea taratibu za mahusiano mazuri katikasehemu za kazi. Sheria imeweka viwango vya kima cha chini cha mshahara na masharti ya kazi; yako mwajiri anaweza kutoa viwango vyaziada. Unaweza kuangalia Sheria hii kwa katika tovuti hii www.publications.gov.sk.ca.Chapisho hili si hati ya kisheria. Tafadhali soma Sheria ya Viwango vya Kazi (The Labour Standards Act) ili kuelewa na kutumia sheria, au wasiliana na Idara ya Viwango vya Kazi (the Labour Standards Division) kwa msaada.
Yaliyomo:
1. Kuhusu Malipo Yako (Mshahara) 2. Wasiliana Nasi Kupitia 1. Kuhusu Malipo Yako (Mshahara)
Swali: Je, ni kwa muda gani natakiwa kufanya kazi? Mfanyakazi wa kudumu mkoani Saskatchewan kwa kawaida anafanya kazi masaa nane kwa siku na masaa 40 kwa wiki. Kama unafanya kazi kwa muda, basi utakuwa unafanya kazi masaa kidogo. Kama unafanya kazi zaidi ya masaa nane kwa siku au masaa 40 kwa wiki moja, basi, unaweza ukastahili malipo ya muda wa ziada kazini. Lazima ulipwe kwa kila saa moja au masaa unayopendelea kufanya kazi. Hii ni pamoja na muda unaotumia kuhudhuria mikutano ya wafanyakazi au kusafisha baada ya kazi. Swali: Malipo ya muda wa ziada kazini ni nini? Kwa wafanyakazi walio wengi, malipo yamuda wa ziada kazini ni kile unacholipwa baada ya kufanya kazi zaidi ya masaa nane kwa siku au zaidi ya masaa 40 kwa wiki
www.saskimmigrationcanada.ca
Ukurasa 1 kati ya 8
moja. Kulingana na Sheria ya Viwango vya Kazi, wiki (The Labour Standards Act) huanzia Jumamosi usiku mpaka Jumamosi inayofuata usiku siku ni muda wowote wa masaa 24 mfululizo.
Malipo ya muda wa ziada Kazini ni 1.5 ya kiasi unachopata kwa kila saa.Kama unapata
$10 kwa saa, malipo ya muda wa ziada yatakuwa $15 kwa saa. Kama utafanya kazi kwenye wiki ambayo kuna sikukuu ya umma, unapata nyongeza baada ya kufanya kazi masaa 32. Kwa maelezo zaidi, soma"Muda wa Kutokuwepo Kazini" maelezo sahihi katika www.saskimmigrationcanada.ca/information-in-variouslanguages. Swali: Je, kuna wakati mwajiri wangu hapaswi kulipa muda wa ziada kazini? Kuna baadhi ya kazi ambapo malipo ya muda wa ziada kazini hayalipwi. Kwa mfano; mameneja na watendaji wataalamu kama vile madaktari, walimu na wanasheria. Muulize mwajiri wako kuhusu taratibu za muda wa ziada kazini katika sehemu yako ya kazi. Waajiri wanaweza kupata ruhusa (kibali) kutoka kwa Mkurugenzi wa Viwango vya Kazi, kubadili sheria za muda wa ziada. Idadi kubwa ya wafanyakazi wao lazima pia kukubaliana na mabadiliko hayo. Muulize mwajiri wako kama kuna kibali katika maeneo ya kazi yako. Vibali lazima vitumwe maeneo yako ya kazi. Swali: Je, ninaweza kuwasiliana na nani kama nina maswali kuhusu malipo? Serikali ya Saskatchewan Idara ya Viwango (Labour Standards Division) vya Kazi ina maelezokuhusu malipo na sheriaza muda wa ziada. Angalia katika sehemu ya "Mawasiliano Yetu" mwishoni mwa nakala hii kwa taarifa zaidi. Swali: Kiasi gani cha fedha mwajiri wangu anapaswa kunilipa? Kiasi kidogo kabisa cha fedha ambacho mwajiri wako anaweza kukulipa kwa saa kinaitwamshahara wa kima cha chini. Unaweza kuwa tayari umepata zaidimshahara wa kima cha chini kwa sababu mwajiri wako alikubali kukulipa posho ya juu. Kusoma zaidi juu ya mshahara wa sasa wa kima cha chini, angalia katika www.lrws.gov.sk.ca/minimum-wage-minimum-call-out-pay.Swali: Je, ni kiwango gani cha chini kinapaswa kulipwa mara niitwapo kazi kwa dharula? Kutegemeana na aina ya kazi yako, ndipo unaweza kupata malipo ya kiwango cha chini kwa kuitwa kazini kwa dharura . Kima cha chini cha malipo ya mwito ni kiasi cha chini
www.saskimmigrationcanada.ca
Ukurasa 2 kati ya 8
cha pesa unayopata ya kila saa unayoombwa kwenda kazini kwa dharura. Unapata aidha malipo ya chini mara uitwapo kazini kwa dharura au pesa unayopata kwa masaa unayofanya kazi. Utapata moja ambayo ina pesa nyingi. Malipoya chini mara uitwapo kazini kwa dharura ni mara tatu ya malipo ya kima cha chini cha sasa cha mshahara. Ili kufahamu malipo ya sasa ya kima cha chini mara uitwapo kazini kwa dharura, angalia katika www.lrws.gov.sk.ca/minimum-wageminimum-call-out-pay.Kwa mfano: Kima cha chini cha mshahara ni $10.00 kwa saa. Mshahara unaolipwa ni $16.00 kwa saa. Unafanyakazi kwa saa moja na kupelekwa nyumbani: Saa moja ya kazi kwa $16.00 kwa saa = $16.00. Mara tatu ya kima cha chini cha mshahara = 3 x $10.00 = $30.00. Marauitwapo kazini kwa dharura utapatamalipo ya kima cha chini ambacho ni$30.00 katika mfano huu, ambayo ni zaidi ya mshahara ambao ungepata kwa kufanya kazi saa moja ($16.00). Kama utafanyakazi kwa masaa mawili na kupelekwa nyumbani: Masaa mawili ya kazi kwa $16.00 kwa saa = $32.00. Mara tatu ya kima cha chini cha mshahara = 3 x $10.00 =$30.00. Utalipwa $32.00 ambayo ni zaidi ya kima cha chini cha malipo uatayo mara uitwapo kazni kwa dharura hulipwa katika mfano huu. Kama utalipwa kima cha chini cha mshahara na unafanyakazi kwa masaa mawili: Masaa mawili ya kazikwa kima cha chini cha mshahara = 2x $10.00 = $20.00. Mara tatu ya kima cha chini cha mshahara = 3 x $10.00 =$30.00. Utapata $30.00 ambayo ni zaidi ya mshahara ungepata katika mfano huu. Unapata malipo haya ya kima cha chini hata kama hakuna kazi wakati unawasili kazini. Kuna baadhi ya kazi ambazo huwezi kupata kima cha chini cha malipo mara uitwapo kazini kwa dharura. Utapata kima cha chini cha malipo yakuitwa kazini kwa dharura iwapo wewe ni: Bawabu, msafisha majengo, kibarua wa ujenzi, dereva wa basi la shule au msimamizi wa mchana aliyeajiriwa na bodi ya shule. Shule ya chekechea kwa mwanafunzi wa darasa la 12 kufanya kazi wakati wa mwaka wa shule (chekechea kwa darasa la wanafunzi 12 kupata malipo ya kima cha chini cha mwito wakati wa likizo ya shule).
www.saskimmigrationcanada.ca
Ukurasa 3 kati ya 8
Swali: Nalipwa mara ngapi? Unapaswa kumuliza mwajiri wako lini unalipwa. Angalia na mwajiri wako kujua unalipwa mara ngapi. Kama unalipwa kwa saa, lazima ulipwe angalau mara mbili kwa mwezi. Mwajiri wako anapaswa kukulipa ndani ya siku sita baada ya kila mwisho wa kipindi cha malipo. Kipindi cha malipo ni idadi ya siku auwiki ambazo unalipwa. Katika mfano ukurasa unaofuata, kipindi cha kuanza kulipwa ni tarehe 4 Julai na kuishia tarehe 17 Julai. Siku ya kulipwa ni Julai 23, siku sita baada ya mwisho wa kipindi cha kulipwa.
Swali: Ninalipwa vipi? Kuna njia nyingi za mwajiri wako anazoweza kukulipa. Mwajiri wako anaweza kukupa malipo ya hundi au umeme kuweka mshahara wako moja kwa moja kwenye akaunti yako ya benki.Mwajiri wako pia anaweza kulipa fedha taslimu.
www.saskimmigrationcanada.ca
Ukurasa 4 kati ya 8
Kila wakati mwajiri wako anakulipa,mwajiri wako lazima akupe rekodi iliyoandikwa ya kiasi gani umepata kwa kipindi hicho. Hii inaitwa karatasi ya maelezo ya mshahara au malipo . Swali: Je, ninahitaji kuweka vipande vya karatasi vya malipo yangu? Unapaswa kuweka vipande vya karatasi vya malipo kwa miaka kadhaa pamoja na ratiba yako ya kazi. Unaweza kuhitaji wao kukusaidia kuondoa mtafaruku unaoweza kuwa nao kuhusu malipo yako.
Dokezo: Unaweza pia kuhitaji wao kuandaa kodi yako au mambo fulani na benki yako (kama kuomba mikopo na rehani).
Swali: Mwajiri wangu anaweza kuchukua fedha kwenye hundi yangu? Ndiyo, waajiri wanaweza kuchukua fedha kwenye hundi yako kabla ya kuipata. Hii inaitwa makato. Baadhi ya makato yanahitaji sheria. Kuna makato mengine mwajiri wako huruhusiwa kuchukua. Karatasi yako ya malipo ina orodha ya makato yote kutoka kwenye hundi yako. Kama utavunja au kuharibifu kitu kazini au kupoteza pesa kazini kwako, mwajiri wako hawezi kuchukua gharama hizo kwenye hundi yako bila ruhusa ya mahakama. Makato yanahitaji sheria:
Mradi wa Pensheni Kanada (Canadian Pension Plan) (CPP): CPP nimadi
wa serikali ya muungano wa kustaafu. Kustaafu ina maana kwamba kuacha kufanya kazi wakati unapofikia umri fulani. Unalipa fedha katika mradi huu kila mwezi unaofanya kazi. Unapostaafu,pesa hii utalipwa kupitia hundi ya kila mwezi ya kustaafu inayoitwa pensheni.. Kwa maelezo zaidi, tembelea www.servicecanada.gc.ca/eng/sc/cpp/retirement/canadapension.shtml. Wafanyakazi wa muda wa kigeni wanaweza kupokea CPP. Kwa maelezo zaidi, tembelea www.hrsdc.gc.ca/eng/workplaceskills/foreign_workers/ei_tfw/cpp.shtml.
Kodi ya Mapato (Income Tax) (IT): Fedha hii inasaidia serikali kulipa vitu
kama huduma za afya na elimu.
Bima ya Ajira (Employment Insurance) (EI): Unalipa fedha katikamradi huu kila mwezi unaofanyakazi. Kama utapoteza kazi yako, unaweza kupokea fedha kutoka serikalini wakati unaangalia kazi nyingine.
www.saskimmigrationcanada.ca
Ukurasa 5 kati ya 8
Mifano ya makato yanayoruhusiwa: Ada ya umoja wa wafanyakazi Akiba ya mipango Manunuzi ya mwajiriwa kujitolea (bidhaa ulizonunua kutoka kwa mwajiri)
Dokezo: Kuwepo kwa makato ya ghalama za bidhaa ulizonunua kwa mwajiri (mf. chakula au vifaa) katikahundi ya malipo yako huitwa¡°makato ya hiari¡±. Iwapo hufanya hivi, hakikisha kuwa wewe pamoja na mwajiri wako mnatunza kumbukumbu za kila ghalama kwa kutia saini na tarehe au stakabadhi kila ununuapo kitu.
Swali: Ni taarifa gani zinapaswa kuwa katika stakabadhi ya malipo ya mshahara wangu? Jina Lako Jina la Mwajiri Wako Kipindi cha Malipo Uwiano wa malipo (huelezea kiasi gani cha pesa unalipwa kwa kila saa) Idadi ya masaa uliyofanya kazi (ikijumuisha muda wa ziada kazini) Malipo ya Sikukuu za Mwaka Malipo ya Sikukuu za Umma Jumla ya Mapato Orodha ya kila makato na sababu za makato Ni kiasi gani cha pesa ulichopokea kiuhalisia (wakati mwingine huitwa malipo halisi)
MFANO WA STAKABADHI YA MALIPO¨C Ya kwako huweza kuonekana tofauti, lakini lazima iwe na mambo yote haya.
Jina la Mwajiriwa: Mariam Banta Idadi ya Masaa Uwiano wa Masaa$10.00 $15.00 Kiasi cha Pesa $40.00$90.00 $28.27 Jina la Mwajiri: Lovely Furniture Store Kiasi cha Pesa $6.77$12.71 Mwaka kwa Tarehe $6.77$12.71
Mapato
Mapunguzo
Mshahara Malipo ya Muda wa Ziada Kazini Malipo ya Sikukuu za Mwaka (Likizo) Malipo ya Sikukuu za Umma
40 6
CPP EI
Kodi ya Mapato Malipo ya Umoja wa Wafanyakazi Bima ya Maisha
$57.85 $20.23
$57.85 $20.23
$20.00
$20.00
$20.00
www.saskimmigrationcanada.ca
Ukurasa 6 kati ya 8
Ulemavu wa Kudumu Jumla ya Mapato Kipindi cha Malipo: Agosti 1¨C Agosti 14 $538.27 Tarehe ya Malipo: Agost 20 Jumla ya Makato Malipo Kamili: $400.71
$20.00 $137.56
$20.00 $137.56
Swali: Sina uhakika kuhusu baadhi ya maneno yaliyo kwenye stakabadhi yangu ya malipo humaanisha nini. Ninaweza kujifunza wapi zaidi? Hapa kuna baadhi ya maelezo ya maneno ya kawaida yaliyo kwenye stakabadhi yako ya malipo: Mapato: Hii ni aina ya malipo unayopata. Kwa mfano, unaweza kupata mshahara, malipo ya likizo, sikukuu za umma, bonasi, pato la asilimia, na malipo ya muda wa ziada kazini. Idadi ya Masaa: Haya ni masaa uliyofanya kazi. Wakati mwingine muda hugawanywa katika vipindi au masaa. Kipindi ni kiwango cha muda.Kwa mfano, iwapo ni kipindi cha dakika 30 na stakabadhi ya malipo yako inaonesha vipindi 2 hii humaanisha kuwa ulifanya kazi kwasaa 1. Malipo kwa Uwiano wa Masaa: Haya ni malipo unayolipwa posho kwa kila saa. Malipo ya Muda wa Ziada Kazini: Mara nyingi stakabadhi ya malipo ya posho yako huonesha uwiano wa malipo yako ya muda wa ziada kazini (ni kiasi gani cha pesa unacholipwa kwa kila saa ya muda wa ziada kazini), idadi ya masaa ya muda wa ziada uliofanya kazi, na kiwango cha pesa kwa malipo ya muda huo. Malipo ya Sikukuu za Mwaka: Waajiriwa wote hupata malipo ya sikukuu za mwaka, ambayo pia huitwa malipo ya likizo. Malipo ya Sikukuu za Mwaka ni 3/52 ya jumla ya mshahara wako au ni sawa na malipo yako ya wiki tatu kazini. Malipo ya Sikukuu za Mwaka: Kila wakati kuna sikukuu za umma au serikali ambapo hupata malipo. Malipo ya Sikukuu za Umma ni 1/20 au asilimia 5 ya posho unayopata kwa wiki nne kabla ya sikukuu. Makato: Hiki ni kiwango cha pesa kinachochukuliwa katika mshahara wako kutokana na sababu mbalimbali kama vile E.I., CPP, kodi ya mapato, nk.
www.saskimmigrationcanada.ca
Ukurasa 7 kati ya 8
Mwaka kwa Tarehe: Jumla ya makato katika kila mchepuo tangu mwanzo wa mwaka. Jumla ya Mapato: Jumla ya mapato yako katika kipindi cha sasa cha malipo. Haya pia huitwa malipo ya jumla. Jumla ya Makato: Jumla ya kiasi cha malipo yako kinachochukuliwa kutoka katika mshahara wako na tangu mwanzoni mwa mwaka. Kipindi cha Malipo: Huu ni muda unaoanza kulipwa kulingana na stakabadhi yako ya malipo. Tarehe ya Malipo: Hii ni tarehe unayolipwa. Malipo Yote Kwa Ujumla: Hiki ni kiwango cha malipo unayopata baada ya makato yote.
2. Wasiliana Nasi Kupitia
Kitengo cha Viwango vya Kazi (Labour Standards Division) 3rd Floor¨C 1870 Albert Street Regina, SK Canada S4P 4W1 Simu ya Bure (hainaghalama): 1-800667-1783 Simu: (Canada 001) 306-787-2438 Faksi: (Canada 001) 306-787-4780 Barua Pepel: webmaster@lab.gov.sk.ca www.lrws.gov.sk.ca/labour-standards
Ofisi za Uhamiaji za Saskatchewan (Saskatchewan Immigration) 7th Floor - 1945 Hamilton Street Regina, SK Canada S4P 2C8 Simu: (Canada 001) 306-798-7467 Faksi: (Canada 001) 306-798-0713 Barua Pepe: immigration@gov.sk.ca www.saskimmigrationcanada.ca
Tafsiri za nakala hii, pamoja na taarifa kuhusu mada nyinginezo, katika lugha mbalimbali hupatikana kwenye tovuti hii:
www.saskimmigrationcanada.ca/information-in-various-languages
www.saskimmigrationcanada.ca
Ukurasa 8 kati ya 8