DOKEZO Malipo kwa waathirika wa barabara ya TAMCO -MAPINGA ni Kilio kwa wakazi wa mtaa wa Kidimu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Mr Ezek

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
298
Reaction score
105
Kuna vitu vinashangaza sana kwenye hii nchi iliyoasisiwa na Hayati Nyerere, tunasema Kuna amani na upendo miongoni mwenu Lakin kiuhalisia Kuna watu ni wenye manung'uniko na maumivu makubwa moyoni.

Madaraka yamewafanya wenye madaraka kujiona miungu watu. wakazi wa mtaa wa Kidimu uliopo kata ya Pangani waathiriwa wa barabara ni wenye manung'uniko na maumivu moyoni.

Wenye mamlaka mnataka kufanya nini na pesa za waathirika? watu mmewafanyia utathmini lakini kuwalipa imekuwa ni vitisho kuwa hamuwalipi.

Pesa zao mnapeleka wapi wenye mamlaka? Mamlaka ya juu tunaomba iangalie jambo hili ili kudhibiti upigaji kwenye huu mradi wa Barabara.

NAIPENDA TANZANIA, NAIPENDA AFRIKA.
 
Una maana wanawalipa tofauti na makubaliano?
 
Hiyo mamlaka ya juu ndio iliyosema kila mtu ale Kwa urefu wa kamba yake, nakukumbusha tu
 
Kwa hiyo wenyew ndio viongozi wa unyonyaji wa raia?,kama n kwel hawafai kuwepo hapo
 
Back
Top Bottom