Malipo hapa duniani Moto mkubwa Israel

Malipo hapa duniani Moto mkubwa Israel

Screenshot_20250430-154824.png
 
Baadhi yetu Watanzania linapokuja suala la dini tunakaa mbali sana na akili zetu za kupambanua mambo,hapa nyumbani kuna mwaka Kilimanjaro hapo paliwaka moto kweli kweli ni kusema na sisi tuliwaua Israel?
 
Una imani pia kuwa ccm nao watalipwa hapahapa Duniani kwa matendo yao?
 
Mungu anajua matamanio yako tuachane na awa kina sikujua tuma na yakutolea tuwatafute wale 72 na akuna mwenye kasoro yoyote kati yao.. mungu fundi
 
Back
Top Bottom