Wee amka wee !!! Libya chini ya Ghadhafi (Gadafi) haina deni. Ni kutokana na kutowaramba miguu waMagharibi kwa mikopo/misaada yao ya uongo kama tunavyofanya sisi, ndio maana waMagharibi wanamuona jeuri kiasi kwamba hakuna njia isipokuwa kumuondoa madarakani na kumuua tu. Inaonekana umejaa kasumba ubongoni kiasi kwamba una-assume tuuuu kwa mujibu wa kasumba bila ya hata kutafuta ukweli kwanza.
Ni hawa NTC wanaoanza na madeni na believe me, hawatoondokana na hayo madeni milele labda wasafishe (purify) namna wanavyopigania jihadi.