Malipo Feki Kama ya Dowans Yaliyo Achwa na Khadaffi Libya MTC Watalazimki Kuyalipa?

Tetere Enjiwa

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
217
65
Hivi baada ya utawala wa Libya chini ya Khadaffi kuondolewa, walio muondao ambao ni NTC watalazimika kuridhi madeni ya mikata feki ya utawala ulioangushwa na kulipa au inakuaje katika mazingira kama hayo.
 
Wee amka wee !!! Libya chini ya Ghadhafi (Gadafi) haina deni. Ni kutokana na kutowaramba miguu waMagharibi kwa mikopo/misaada yao ya uongo kama tunavyofanya sisi, ndio maana waMagharibi wanamuona jeuri kiasi kwamba hakuna njia isipokuwa kumuondoa madarakani na kumuua tu. Inaonekana umejaa kasumba ubongoni kiasi kwamba una-assume tuuuu kwa mujibu wa kasumba bila ya hata kutafuta ukweli kwanza.

Ni hawa NTC wanaoanza na madeni na believe me, hawatoondokana na hayo madeni milele labda wasafishe (purify) namna wanavyopigania jihadi.
 
M-Joka, inaonekana muelewa sana wa khadaffi na libya yake, hebu nijuze kwa nini huyu mtawala achukiwe na waMagharibi na waNanchi wake pia. Tumeona alikuwa na wanajeshi wa kukodisha walio kuwa wanamlinda tumeona wananchi wake ndio wanaopigana kumng`oa pamoja na kuwa anajitahidi kuwaua lakini wao wanaona ni ushujaa kufa katika vita hii ya kumtoa gaddafi. Kwa nini tusiamini basi pamoja na kuwa hadaiwi kama ulivyo tuhakikishia basi alikuwa naye anafanya malipo feki kama haya ya kwetu hapa ya dowans ambayo yalimfanya ajengewe chuki na waNanchi wake, kama hapa kwetu wananchi tunavyo ichukia serikali yetu kutokana na madhila ya dowans.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom