Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,780
Wengine tulitoa onyo wakati wa kampeni za uchaguzi wa tff kwamba huyu mtu ni opportunist.Alikuwa promoter wa ndondi-Radhid Matumla,Muziki-Saida Karoli,Urembo-Miss Kagera.
Soka kaingia kwa ajili ya maslahi yake.Atasumbua sana huyu na hamuwezi.Mnakumbuka alivyoondolewa jinsi Amos Makala na BMT walivyokuja juu dhidi ya Tenga kwa kumuogopa kaka yake Dioniz Malinzi anayewafadhili na kuwapa posho mvalimbali?.
Hivi sasa pale TFF ni one man show.Wengine wote hawajui kitu ni yeye tu.Wakurugenzi wote hawana tena kauli wala nafasi ya kuonyesha uwezo wao.
Wahaya ndo wamejaa utadhani pale ni Cargo Stars.
Tegemeeni madudu zaidi yaja!
Duu na hao aliowa-promote wote wamefia mbali