Malinzi fanya haya uheshimike

Blandes

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
401
228
Rais wangu wa tff pole na majukumu ya kuongoza soka gumu sana lenye watu wote makocha,rais nakushauri kama unataka kufanikiwa ktk uongozi wako chukua kipaumbele kimoja kimoja,mf anza na ligi yenye uwiano sawa wa kimasirahi kwa vilabu,anzisha ligi za vijana kwa kila klabu,toa kozi za makocha pamoja na marefa uku ukiwa unashrikiana na serikali na wadhamin make hivi vitu vinaitaji bajet kubwa,hakika haya ukiyatimiza utatuacha pazuri ktk soka.NB FUNGUA WOTE WANAOLETA GOZIGOZI NA SIASA KTK SOKA
 
Mbona wewe hukuanza kwa kumshauri moja tu kati ya hayo?
 
Mkuu fuatilia,mbona kozi za makocha zipo na zinaendelea kutolewa tena kwa uwezo mkubwa tu.
Au hufuatilii pale uwanja wa taifa baadhi ya siku wanakuwa kwenye Practicals.Au nunua TV uwe angalua unafuatilia habari za michezo

Ligi ya Vijana -Ipo,ila ipo kwenye mfumo tofauti,mkuu naingia hofu na wewe kamna kweli una uelewa na masuala ya mpira,inawezekana ukawa ni shabiki tu na sio mfuatiliaji.

Pia Bado mapema kwa malinzi acha apewe muda,vitu haviji wepesi namna hiyo.

Yapo mengi anayafanya na pi jamaa ni msikivu sana,maana nakumbuka kuna kitu aliwahi kukiri humuhumu.
Tatizo wengi tutasubiri yale mabaya tuu,yale mazuri alioanza nayo hatuyaoni.
Kwangu mie naona mwanzo mzuri.

Suala la Timu za Vijana kwa Club ni Club zenyewe pia kujipanga,mara ngapi Simba na Yanga wanaokota watoto mitaani na kuungaunga na ku form timu ya Vijana,AZAM Fc peke yake ndio yenye timu ya vijana yenye kambi ya kudumu.

Malinzi peke yake hawezi kufanikisha soka la nchi hii bila wadau wengine ikiwemo wewe kujitolea na sio kila kitu serikali.
Yeye hawezi kuamka asubuhi kila siku kwenda kwenye Clubs kuahikisha kwamba kuna timu za vijana,watu lazima wajifunze kujisimamia wenyewe.

Mbali na yote mchango wako mzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom