Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,358
- 289,453
Taarifa zisizo na chanzo za kujiuzulu kwa Malinzi kwenye uongozi na hatimaye kujitoa kwenye uchaguzi , zimekanushwa vibaya sana .
Source - EATV
Source - EATV
Unajua hata mimi simtaki Malinzi , lakini kumbambika kesi kama njia ya kumfanya ajitoe si sawa hata kidogo .Duh sasa ikiwa hivyo ndivyo nini khatina yake