Malinzi aanza kupanga watu wake

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
558
mpira wa tanzani imeingizwa siasa.
kamati ya uchaguzi Dorefa mkoani dodoma imewaondoa baadhi ya wagombea kwa madai ya maagizo kutoka TFF.
inasemekana anataka kubadilisha kanuni ya uchaguzi wa TFF wapiga kura ni wenyeviti wa mikoa tu
 
Hiyo trela picha kamili anayoiandaa na itakayovuruga kabisa uwepo wake tff ni vita anavyoviandaa vya kumfungia jerry muro
Manji
Na katibu mkuu wa yanga baraka deusdedit sbb wanahatarisha maslahi yake tff
 
Back
Top Bottom