Mimi hapa...!!!!
Heheheh!! ngoja nicheke...labda ukodi watu
Aaahh wapi nakuvizia tu natafuta mabhugando yalipo nasimama kwa juu kitachofuata.....
Jamani, nimeshasema mkiumizana mie simo! Msiniite kabisa kutoa ushahidi...
nawasha moto Bishop Hiluka alimaanisha mimi?
Aah, umeanza!...Huyo shop mgomvi sana
Sijajua nithibitishe nini.Umeona eh? Kwa kuwa umekuja, hebu tuthibitishie...
Soma vizuri uzi ili ujue kwanini uliitwa...Sijajua nithibitishe nini.
time....soma vizuri uzi ili ujue kwanini uliitwa...
Aah, umeanza!...
Atakuwa mwanaye au nduguye mbona wanafanana usoni...Huyo dada / mama kwenye picha ya pili lazima atakua mnyakyusa..!!
Ni muonekano tu wakuu..