Malimbikizo ya mishahara kwa Walimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malimbikizo ya mishahara kwa Walimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kacghee, Jan 27, 2012.

 1. kacghee

  kacghee Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi madeni yote ya Walimu yamelipwa Mwezi Januari kama Naibu Waziri wa Elimu alivyotamba? Mbona Walimu wengi wanaodai malimbikizo ya mishahara hawajalipwa?
   
 2. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kuna matatizo mengi yanawakumba watumishi wa umma.Serikali imezidiwa kwani ukata umeingia mlangoni ndo maana ufanisi umotekea dirishani.
   
Loading...