Mali za dhamani......

Mali za dhamani......

Jr king

Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
50
Reaction score
55
Habalini wakuu... Moja kwa moja naomba niingie kwenye maada...Ni mda nikisikia kua kuna uhitaji wa bidhaa za mjerumani, hasa pasi....
Je ni kweli pasi hiyo ukiipata ni Mali na soko likoje na liko wapi?.....
Tafadhali kama kuna mtu mwenye taarifa kuhusu bidhaa tupatieni
maelezo.
 
Back
Top Bottom