Mali ya Mjerumani

Kuna sehemu kumegunduliwa zege chini kama mita mbili chini, lakini hawakufanikiwa kuzipata , je hyo kweli ipo au ni zege tu liliwekwa.
 
Kuna sehemu kumegunduliwa zege chini kama mita mbili chini, lakini hawakufanikiwa kuzipata , je hyo kweli ipo au ni zege tu liliwekwa.
Chimba ukizunguka hilo zege kea urefu unaofanana ukikuta kuna ukuta wa zege jitahidi kuubomoa lazima ndani kuna thamani za uhakika Mjerumani alifukia vingi hata kule kwao ujerumani alipoona anashindwa vita, na waliojenga hayo mahandaki waliwauwa ili waste siri
 
Huwa hakuna kitu chochote cha kuhatarisha maisha
 
Jamani kunasehemu kumefukuliwa , lakin chini kunazege na bado Mali hzo hawakufanikiwa kuzitoa nifanyaje, zege lilipatkan kana mita mbili hivi
Ukitaka kufa kifo cha majini jaribu kuchimba
 
Sisi huku zimefukuliwa sii Mali ya mjerumani ni Mali yetu wenyewe ila Mkulu anasema ni Germany kaweka bicon za 1905 ni za relwe au mjeruman wajuzi nijuzeni hapo ni ktk sheria IPI yetu au German?
 
Hizo dhahabu ni kweli zipo ila mkuu hauziendei hivihivi lazima upite kwa wenye macho wakuonyeshe. Ukizifikia kavukavu haurudi mazee
 
Mkuu utapotea aise___Isijekuwa mabomu yalifukiwa ukadhani pesa au almasi
 
Jamani kunasehemu kumefukuliwa , lakin chini kunazege na bado Mali hzo hawakufanikiwa kuzitoa nifanyaje, zege lilipatkan kana mita mbili hivi
Soma tena hichi ichoandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…