Cable ndefu kama hizo nilinunua Duka la Sapna kwa ajili ya iPhone 5, waliniuzia nadhani Tshs. 25,000 ilidumu nadhani kama wiki 5 kile kichwa kikachomoka chenyewe. Yaani hizo cable hazifahi
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Hizi ni og
Eti ni ORIGINAL!!!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Taadhali.
Usiweke simu yako Original ya IPhone kwenye power bank ya Kichina Utalias
Usipotoshe watu, Mimi natumia Power Bank ya aina ya Yoobao kuchaji iPhone 4s yangu kwa karibu mwaka sasa na sijaona tatizo lolote. Na hata hizo cable mnazosema hazifai mi ninayo moja ya mita 4 kwa zaidi ya mwaka salsa Vila shida yoyote! Zote ni za kichina.