Zamani ilikuwa ni mabenki tu ambayo ili upewe pesa lazima uweke dhamana ya mali isiyohamishika, yaani piga ua garagaza bila kuwa na mali isiyohamishika huwezi pewa pesa benki.
Lakini sikuhizi mambo yamebadilika, si banks tu wanatoa pesa kwa watu wenye na mali zisizohamishika bali hata wanaume hawatoi pesa kwa wanawake ambao hawataki kutoa dhamana ya mali isiyohamishika.
Tofauti ya wanaume na banks ni kwamba: Banks: lazima uonyeshe hiyo mali isiyohamishika then upewe pesa lakini WANAUME: anaweza kutangulia kwanza kutoa pesa na baadae ndipo wanaitumia hiyo mali isiyohamishika.
MALI ISIYOHAMISHIKA NDIO HABARI YA MuJINI MCHUNGUZI HURU