Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,263
It's obviousSalaam kwenu wadau.
Nionavyo mimi, malezi mabovu ya waototo yanaanzia nyumbani sio shule wala mtaani.
Nini maoni yako katika hili?
Wasalaam.
Umenena vyema. Hapo kwenye commitment ni muhimu sana. Point taken.Kulea mtoto ni kazi ngumu sana. Inahitaji kujitoa, commitment, busara, udadisi, ufuatiliaji mapenzi na uvumilivu wa hali ya juu. Jambo unaloliona ni dogo sana, ila lina impact kubwa sana kwa malezi ya mtoto. Wazazi wengi wa sasa tunaharibu kizazi sababu hatutoi muda wetu mwingi kwa watoto wetu, tunaachia shule. Shule hawana hayo hapo, Wao wanatafuta mshahara tu. Malezi ni nyumbani. Huo ndio msingi. Kulea mtoto ni project ngumu na ya muda mrefu sana.
ikikupendeza, elezea kidogo ni wapi kama wazazi tunakosea na tufanye nini ili tuzalishe kizazi chenye maadili?It's obvious
commitment muhimu sana kaka. Kuna time kinywaji kimekolea inabidi uache urudi home mapema ujue mtoto amekula, na ule nae. Huwezi lala kabla mtoto hajalala. Asubuhi inabidi uamke mapema uhakikishe anaenda shule yuko smart. Inabidi ujenge urafiki nae ili awe huru kufunguka kwako, hapo utajua yanayomkuta shule, watu anaokutana nao, marafiki zake wakoje, fikra na mitazamo yake ikoje ili umshape. Needs a high commitment!Umenena vyema. Hapo kwenye commitment ni muhimu sana. Point taken.
commitment muhimu sana kaka. Kuna time kinywaji kimekolea inabidi uache urudi home mapema ujue mtoto amekula, na ule nae. Huwezi lala kabla mtoto hajalala. Asubuhi inabidi uamke mapema uhakikishe anaenda shule yuko smart. Inabidi ujenge urafiki nae ili awe huru kufunguka kwako, hapo utajua yanayomkuta shule, watu anaokutana nao, marafiki zake wakoje, fikra na mitazamo yake ikoje ili umshape. Needs a high commitment!
Umemaliza kila kitu mkuu. Na mtoto anachohitaji zaidi ni wewe kuwa karibu naye. Ajue kuwa anapendwa, anajaliwa na kwamba yuko salama.commitment muhimu sana kaka. Kuna time kinywaji kimekolea inabidi uache urudi home mapema ujue mtoto amekula, na ule nae. Huwezi lala kabla mtoto hajalala. Asubuhi inabidi uamke mapema uhakikishe anaenda shule yuko smart. Inabidi ujenge urafiki nae ili awe huru kufunguka kwako, hapo utajua yanayomkuta shule, watu anaokutana nao, marafiki zake wakoje, fikra na mitazamo yake ikoje ili umshape. Needs a high commitment!
Nidhamu na kujiota kwa wazazi katika kulea watoto ni muhimu sana. Mara zote wazazi wengi wamewaacha watoto wakae na walezi wao kuliko wao. Kama kuna kitu watoto hawapendi katika maisha yao ni kuona wazazi hawana nidhamu, kila wanachoongea kinakinzana na kile wanachowafanyiwa watoto. Wazazi hawaongei ukweli kwa watoto na kuwapelekea watoto kuishi bila kujua misingi ya familia inaelekea wapi.commitment muhimu sana kaka. Kuna time kinywaji kimekolea inabidi uache urudi home mapema ujue mtoto amekula, na ule nae. Huwezi lala kabla mtoto hajalala. Asubuhi inabidi uamke mapema uhakikishe anaenda shule yuko smart. Inabidi ujenge urafiki nae ili awe huru kufunguka kwako, hapo utajua yanayomkuta shule, watu anaokutana nao, marafiki zake wakoje, fikra na mitazamo yake ikoje ili umshape. Needs a high commitment!
Salute you! hongera kwa kuwa baba mwema.Umemaliza kila kitu mkuu. Na mtoto anachohitaji zaidi ni wewe kuwa karibu naye. Ajue kuwa anapendwa, anajaliwa na kwamba yuko salama. Ukimfanya kuwa rafiki yake na mkaaminiana basi kazi yako itakuwa rahisi sana kwa sababu atakuwa anakusikiliza, si kwa sababu ya hofu bali ile heshima, uaminifu pamoja na urafiki wenu. Na ukiweza msogeze kwa Mungu. Sali naye. Nenda naye kanisani. Soma naye Neno na mruhusu ajihusishe na kuchangamana na marafiki zake wa huko kanisani; hasa wale wenye interests kama zake.
As a single father of a 13 yrs old girl, hii fomyula imenisaidia sana mpaka malezi yameonekana kuwa rahisi...
Ukimlea vizuri toka nyumbani, atakuwa na uelewa achangamane na watu gani.Ibada njema huanzia nyumbani vivyo ivyo katika malezi japokuwa mtaa unaweza mlea mtu na kumkuza vizuri inategemea watu gani anajichanganya nawo
Wawekee movie zile za Toni Jaa wajifunze mikong'oto ya Ong Back waive.Wanangu wanapigana jamani, ni wanazichapa, naongea hadi najiona redio katika masaa matatu wanayocheza basi mawili wanatumia kupigana....hivi nifanyeje?!
Wanangu wanapigana jamani, ni wanazichapa, naongea hadi najiona redio katika masaa matatu wanayocheza basi mawili wanatumia kupigana....hivi nifanyeje?!
Hata hawaelewi nadhani umri wa kuelewa bado miaka 6 na 3Hongera, ni ishara kuwa wana afya njema.
Waite kaa nao in lovely but serious tone.
Waulize kuwa kwanini mnapenda kupigana? Kisha waulize, mnajua sipendi mpigane?
waulize, mnanipenda?
kisha waulize kama mnanipenda kwanini mnafanya kitu sikipendi na mnanikwaza?
Jibu watakalo kupa, wafanye wakuahidi kuwa hawatopigana tena.
Kwa umri huo basi, watembezee bakora.Hata hawaelewi nadhani umri wa kuelewa bado miaka 6 na 3
1. Mzazi mmoja kuwa kimbilio la mtoto anapopewa adhabu na mzazi mwingineikikupendeza, elezea kidogo ni wapi kama wazazi tunakosea na tufanye nini ili tuzalishe kizazi chenye maadili?