Malengo ya mfuko wa kuchochea maendeleo ya jimbo(Comunity Development Catalyst Fund-CDCF)

Jamani naombeni ufafanuzi kuhusu fedha zinazoitwa mfuko wa jimbo wa mbunge, utolewaji wake na matumizi yake..Ahsanten
 
Kama jina lake, mfuko wa jimbo - maana yake ni za mfukoni mwa mwenye jimbo. So, matumizi yake huamuliwa na mjimbo mwenyewe.
Kama haujaelewa basi tusubirie na wengine
 
Kama jina lake, mfuko wa jimbo - maana yake ni za mfukoni mwa mwenye jimbo. So, matumizi yake huamuliwa na mjimbo mwenyewe.
Kama haujaelewa basi tusubirie na wengine
Nataka kujua process za fedha hizo zinapitia wapi hadi kwenda kutekeleza yaliyoamuliwa
 
Bado hakuna uwazi kuhusu huu mfuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…