Kuna njia nyingi za kuendeleza jimbo pasipo kutegemea fedha za serikali. Ina takiwa mbunge awe na initiative, awe creative na awe na vision. Ukikaa kusubiria pesa za serikali tu ndipo hapo inabidi mbunge asubiria mpaka apate uwaziri. Pia wabunge wengi wa CCM wange punguza uchama na kukazania kutetea maslahi ya majimbo yao zaidi kunge kuwa na maendeleo. Tatizo wabunge wengi (haswa wa CCM) ni rubber stamps tu.
we una mawazo ya ubinafsi. Kiongozi mzuri haangalii analifanyia nini jimbo lake anaangalia priorities za nchi. Ukitaka alifanyie nini jimbo lake, kesho utauliza mbona hakufanya chochote kijijini kwake, kesho kutwa utaliza amefanyia nini mtaa wake. Huo ni ubinafsi mkubwa kama wa Magufuli kupindisha barabara ili ipite kijijini kwake. Huyo huyo akataka makao makuu ya mkoa wa Geita yawe kwao Chato badala ya Geita. Huo ni mfano halisi wa ubinafsi.
John angetusilimisha watanzania wote, maana alitaka urais kwa kusilimu.
John angetusilimisha watanzania wote, maana alitaka urais kwa kusilimu.
My own observations
Hali ingekuwa mbaya zaidi huenda hata nchi ingekuwa imebinafsishwa Kama si kuuzwa kabisa. Hakuna unafuu hapo, ngoja nimeze kabisa panadol.
huwe kumpima mtu kwa kuangalia jimboni kafanya nini, nadhani hata kikwete hakuchaguliwa kazi alizofanya chalinze,
mtela hapakuweza kuboreshwa si kwa kuwa malechele hakufanya kazi, ni kwa kuwa eneo hilo halikuwa katika mipango ya serikali, kama ambavyo barabara ya kwenda nyumbani kwa mwl,nadhani bado haina lami mpaka sasa
Duh mkuu wangu mimi sijawahi kusikia Mbunge asiyetegemea fedha za serikali. Yaani hilo ulosema ndio kubinafsisha nchi!..na ndio hatari kubwa sana ya siasa za Tanzania kutegemea mbunge atumie mfuko wake kutimiza ahadi zake. Maana ya ahadi za mbunge Tanzania, ni uwezo wa mbunge kuyatimiza aloahidi kutoka mfukoni mwake.. No wonder Lowassa, Rostam na kina Change wataendelea kushinda ktk majimbo yao..Kuna njia nyingi za kuendeleza jimbo pasipo kutegemea fedha za serikali. Ina takiwa mbunge awe na initiative, awe creative na awe na vision. Ukikaa kusubiria pesa za serikali tu ndipo hapo inabidi mbunge asubiria mpaka apate uwaziri. Pia wabunge wengi wa CCM wange punguza uchama na kukazania kutetea maslahi ya majimbo yao zaidi kunge kuwa na maendeleo. Tatizo wabunge wengi (haswa wa CCM) ni rubber stamps tu.
Lakini hao wafungwa na wagonjwa wa akili wanaowekwa huko hawatoki Dodoma tu, wapo hadi wakutoka huku kwetu.huyu malecela hafai kwa data zifuatazo dodoma maendeleo aliyofanya ni kujenga gereza la kunyongea watu tulipo lalamika akatujengea hospitali vichaa mirembe akidai sisi ni vichaa huyu hafai ndio mana hata ubunge kakosa
Aliwahi kusilimu? Sijawahi kusikia kuhusu hii.John angetusilimisha watanzania wote, maana alitaka urais kwa kusilimu.
Vipi Salim je? Ukizingatia ufahamu wake wa mifumo ya utawala katika nchi nyingine