Na hili ndo tatizo, kurukaruka kama kunguru! No wonder people hates politics!
Maana ni ujinga kujionesha mbele za watu we mjanja wakati huna lolote, look here, Lowassa na Rostam walimweka JK hapo alipo, sasa nape anatumiwa kuwabomoa. Hajiulizi what next nikimaliza hichi kibarua, wont I fall on the same line? bila shaka yupo anayeandaliwa wakummaliza yeye (Nape) coz sasa anajua mengi! Surely what goes around comes around