Udini na ukabila umeanza kuitafuna nchi yetu…kama udini unaanza kuingia kwenye Serikali yetu utatumaliza, taifa hili lisije kuondoka madarakani watoto na wajukuu zetu wakatulaumu kutokana na kupata taabu baada ya udini kuingizwa kwenye katiba" amesema.