Malecela aiunga mkono chadema kiaina!

Gamba tu huyo, njaa inamsumbua...
 
Haka ka Joshua kanaonekana kachokozi sana, hebu chekini kalivyo weka alama mbele ya hilo lijamaa likubwa (nasikia linajiita "big show":bump2::bump2🙂
 
Yeah ningependa pia ungemlipia gym na yule kaka pale nyuma na kile kitambi, unafahamu kuwa ni askari yule, napita tu.

Huo mwili wa ubishi tu......kwa mavumbi ya viatu lazima angeshakonda kwa kusaga lami
 
tutamjadili kwenye vikao vya chama,hatutamwogopa baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…