Hata mimi siko mbali sana na huo mtazamo wako aisee.
Bwahahahahahhhbikini yenyewe kama manati,ovyoooo
Harafu ndo kubwa kuliko wote.hilo punga tu
Yaani?So gay!
Teh teh tehe tehe!!bikini yenyewe kama manati,ovyoooo
Harafu ndo kubwa kuliko wote.
Rangi yenyewe tu shaka mashakani!!!
hahahahaha zantel
Twanga kote kote!!!!
network bara haikamati anatwanga visiwani tu lol