Naomba niende na wanajf wawili ivi garama zote nalipa mimi
Naomba niende na wanajf wawili ivi garama zote nalipa mimi
Tatizo la hii nchi ni kuweka sheria za kiislam kuwa za nchi. Bangi=cocaine=pombe=sigara!
Na pia sio nchi utakayodumu pamoja na kuwa wanafanya land reclamation the rise of sea level is unstoppable deluge to Maldivans ndio mana Australia mwaka 2004 ilitaka iwanunue wote na nchi yao wahamishwe wakagoma!
Mnaotaka kwenda muwahi kabla attols hazijazama maana ndio kivutio kikubwa
Na hii ni hukohuko kwao!!!!
Tatizo la hii nchi ni kuweka sheria za kiislam kuwa za nchi. Bangi=cocaine=pombe=sigara!
Hii kauli nimejaribu kuielewa lakini nimeshindwa....ufafanuzi tafadhali!!!