Malcom X: Ni kipi kirefu cha hiyo 'X'?

huyo bwana ni moja ya wajibu na watoa hoja ninao wakubali sana..
 
Salute broo
 
Muwe mnajifunza kuserarch vitu Google ..si kiila kitu lazima utafuniwe
 
Baada ya kuona hivyo,Malcolm akaamua kuondoa Jina la 'little' na kuweka X--------bravo- together we stand.
 
Michael Jackson ndio kachanganya damu kabisaaaaaa, kachanganya na wale ma zombie wa kwenye thriller
 
Kama ulivyoandika mwanzo,alikuwa hataki jina la slave master. Alikuwa jela wakati ule,akajiita X. Siyo yeye tu,wafungwa wengine pia walikuwepo waliojiita X. Kwa hiyo jina hilo halina special meaning. Halafu baadaye akaenda Saudia akawa anajiita jina la Kiislamu.
 
Kuna kichwa kimoja now kinaitwa Louis Farrakhan mwanzoni na yeye alikuwa anajiita louis X ndio kiongozi Wa sasa Wa national of Islam(NOI) na ndiye aliyemrith malcom x baada ya Malcolm kufa. Jamaa ni noma kwa ambaye hajawahi kukutana na speech zake atafute youTube ndo utaelewa nikisema jamaa ni noma
 
Yap Umenikumbusha Black Americans Genesis. Malcolm X siku anaenda kuanza Skul akaulizwa jina lake akasema Malcolm Little lakini wasimuandike Malcolm Little but Malcolm X Since he had no a specific Father but a clear and concise History that is Africa.
 
Kwa wale wanaopenda kujua zaid kuhuxu malcom X na ni wapenzi wa movie unaeza download au tafuta kwa njia nyingine yoyote movie iitwayo MALCOM X kama jina lake lilivyo imeigizwa na fundi Denzel Washington..ni movie based on tru story ya malcom X
 
heshima kwa wa JI kwa maswali na majibu yenye ufahamu zaidi
 
Jamii Intelligence is everything we need in JF...Thanks Mkuu kwa ufafanuzi makini.
 
Kuhusu speech nadhani Malcom X atakumbukwa na speech ya Message to the grassroot( ujumbe mashinani) ambaye ni moja ya speech muhimu harakati kumkomboa mmarekani mweusi.
Message to the Grass Roots
 
Malcom Little alikuwa ni mkristo, na alipobadili dini kuwa Islam, ndipo alipobadili jina na kuwa Malcom X.
Si sawa kuwa alilikataa jina na Little kwa maana kuwa ni la kitumwa.
Hata Cassius Clay alipobadili dini na kuwa muislam, awali alijulikana kama Cassius X, kabla kujulikana baadae kama Muhamad Ali.
X kwa nyakati hizo ilitumika kama, alieacha kitu fulani ie imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…