Ndiyo nasoma vitabu, japo huwa sisomi kila kitabu kilicho mbele yangu kwasababu sipendi kuona ujinga ukikatisha kwenye ubongo wangu. Nasoma vitabu vinavyohusiana na taaluma yangu na mambo mengine yenye umuhimu ndani ya jamii ninayoishi. Naamini ntakuwa nimekujibu vizuri mkuu.Swali langu ni hili,
Wewe Umejikita katika usomaji wa vitabu vya aina gani au unapendelea kusoma vitabu vipi vya siasa,siasa ya Ulimwengu,uchumi,falsafa,dini,Autobiography,Biography,sports,kung fu na vinginenvyo au chochote kilichombele yako halali yako....???
Nasitaki kuamini kama humpenzi wa kusoma vitabu.
Shukran/Ahsanteee.
Heri ya mwaka mpya mkuu long time no see you.Ndiyo nasoma vikitabu kipi ulichokisoma kikakupendezabu, japo huwa sisomi kila kitabu kilicho mbele yangu kwasababu sipendi kuona ujinga ukikatisha kwenye ubongo wangu. Nasoma vitabu vinavyohusiana na taaluma yangu na mambo mengine yenye umuhimu ndani ya jamii ninayoishi. Naamini ntakuwa nimekujibu vizuri mkuu.
Nashukuru sana mkuu. Ushauri wangu ambao kwa watanzania wote kwa ujumla ni kwamba pale ambapo huwezi kuzalisha kwa kiwango ambacho kinaweza kukidhi mahitaji yako njia rahisi ya kuweza kuishi ni kubana matumizi tu. Tujitahidi kupunguza matumizi yasiyo na tija na kuwa na nidhamu na pesa. Huwezi kuwa na akaunti ambayo hiyohiyo ni ya mshahara, hiyohiyo matumizi na hiyohiyo akiba. Fungua akaunti nyingine anza kuwuke akiba huko, kama pesa hutaitumia leo basi utaitumia kesho, na kama huna mkakati maalumu kwa wakati huo ni heri hiyo pesa uiache tu huko benki kuna siku utakuja kupata wazo jema na utaitumia kulifanikisha hilo wazo lako. Lakini kama hakuna umuhimu wa kutumia pesa leo basi iache tu na utatumia hata kesho.Kwa sasa vijana wengi wanapitia kipindi kigumu kulingana na mazingira ya kiuchumi taifa linamotupitisha kutokana na sera za mkulu wetu,kwa uzoefu wako katika mazingira kama haya ni ushauri gani unaweza kutoa kwa vijana ili kuendana na hali hii ? Maana kwa sasa nguvu na elimu ya chuo peke yake haionekani kufua dafu.
Asante sana kwa nyuzi zako mkuu
Biblia huwa inanivutia kila mwaka nadhani kuliko kitabu chochote kile. Japo mwaka 2018 pia nilivutiwa sana na kitabu cha Easternization : War and Peace in the Asian Century.Heri ya mwaka mpya mkuu long time no see you.
Swali. Je mwaka 2018 ni kitabu kipi ulikisoma kikakuvutia zaidi.. mention them
Ipo hivo, unavyosoma biblia roho wa Mungu akikushukia ndio unazidi kuona biblia ni mpya na utagundua/unafunuliwa hekima ambazo hukuwa umeziona kabla.Biblhuwa inanivutia kila mwaka nadhani kuliko kitabu chochote kile. Japo mwaka 2018 pia nilivutiwa sana na kitabu cha Easternization : War and Peace in the Asian Century.
Kumbe ulidhani mtoto mwenzio!!![emoji85][emoji85][emoji85]Mjini siku hizi vijana wazee wote tunaongea lugha moja.
Usikute Malcom ni mzee mmoja wa makamo na mvi zake [emoji23] [emoji23]
Mapenzi, lakini pia huwa napenda kufahamu kinagaubaga mambo yanoyeendelea duniani pamoja na athari zake kwangu.Swali. Kwanini hua unajikita sana kusoma vitabu vya namna hiyo
The Prize: The Epic quest for Oil, Money and Power, Praetorian: The Rise and Fall of Rome's Imperial Body Guard, Death by China.Labda taja vingine mkuu...
Ahsante sana Espy, heri ya mwaka mpya kwako pia.Happy new year 2019 Malcom Lumumba
Ahsante mkuu.Mapenzi, lakini pia huwa napenda kufahamu kinagaubaga mambo yanoyeendelea duniani pamoja na athari zake kwangu.
The Prize: The Epic quest for Oil, Money and Power, Praetorian: The Rise and Fall of Rome's Imperial Body Guard, Death by China.
Hivi navyo vilinivutia sana.
Nadhani itakuwa ngumu kidogo kwasababu ni Hard Copies.Ahsante mkuu.
Je naweza kuvipata??
Sorry mkuu kwa kuingilia.Kumbe ulidhani mtoto mwenzio!!![emoji85][emoji85][emoji85]
Ni libabu kweli kweli.
Ooooh.. I wish nivipate asee.. Chek it out how I'll get them..Nadhani itakuwa ngumu kidogo kwasababu ni Hard Copies.
Nimependa sana hii comment Mkuu Malcom hasa hapo kwenye kulisha ubongo ujinga. Barikiwa zaidi, Heri ya Mwaka Mpya kakaNdiyo nasoma vitabu, japo huwa sisomi kila kitabu kilicho mbele yangu kwasababu sipendi kuona ujinga ukikatisha kwenye ubongo wangu. Nasoma vitabu vinavyohusiana na taaluma yangu na mambo mengine yenye umuhimu ndani ya jamii ninayoishi. Naamini ntakuwa nimekujibu vizuri mkuu.
Ahsante sana mkuu, Barikiwa pia.Nimependa sana hii comment Mkuu Malcom hasa hapo kwenye kulisha ubongo ujinga. Barikiwa zaidi, Heri ya Mwaka Mpya kaka