englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Eeebwanaee hapo wapo kwenye ngalawa ama??
pigilia suti safi kabisa. Sio kujipaka maungaunga na rangirangi za ajabu
Waje tz kuna waganGa balaa hao cha mtoto
Waje tz kuna waganGa balaa hao cha mtoto
Hivi jamaa alitaka kutununulia mvua kwa hawa jamaa? Subiri ipatikane hata kwa setalite watakavyo tamba na hayo madafu yao.pigilia suti safi kabisa. Sio kujipaka maungaunga na rangirangi za ajabu