Kwenye hiyo picha JK ana pande mbili pia,nusu amevaa kijeshi na nusu Kiraia.Hawa jamaa wanamdhihaki Rais wao!
Huyu mama ni mlokole na hana experience nzuri sana ktk ukorofi au issue za kimataifa zinazoambatana na fitna nyingi,sasa wakorofi wa malawi ambao ni design ya akina Zitto, ngeleja ,manji na Rostam ndio wanamletea docuemnet na ushauri unaomwaminisha huyu mama kuwa ziwa ni lao.So huyu mama anafanya kile anachoamini kuwa ni haki yao.Ila ulokole unamwambia kuwa vita si njema.
Mama alipomwappoach, naye akaongea lugha ya mani huku nyuma akiweka vitisho(carrot and stick), wamalawi wakanza hisi tumewageuka na tunaweza wachapa.Kwa vile hata hao waliopo nyuma ya mama ni waoga tena sana.Wakaamu mpa mama ushuri mwingin huku wakijtahidi cheza na ulokole wake ,wakaja na ushauri kuwa mama ajitoe ktk mazungunzo kwa vile Tanzania si partners waaminifu.Kwa huyu mama uaminifu ni kitu kizuri sana , kwa kuaminika alikoambiwa kuwa Tz sio ndio kumenfanya mama awaone watanzania kama wahuni.
Hao jamaa wanaoshape policy za malawi kama mafisadi wa bongo wana wapiga debe wakubwa sana nyuma yao wanaowafagilia kuw ani ma expert wa siasa za kimataifa na hivyo mama hawezi kwenda bila wao.So mama anacheza picha anayoiona kuwa sahihi na ya Kumcha Mungu ktk akili zake,ila kw aupande wa pili anafany akazi ya mafisadi kama ilivyo hapa kwetu.Mkapa alianzisha TRA,PCB etc kumbe alikuw akaindaa platforma ya hili genge la kijambazi leo.Yeye aliletewa CV za watu waliokuwa agent wa mtandao.Baadaye ndio kam aunavyoona,Tenda,Chenge, werema, Hosea na wengine.
Siku mama anaamka kugundua kuwa alikuwa anatumika bila kujijua kama si wao kumuua basi ni wao kukumbana na matatizo.Nadhani Media za kibongo ndo kipindi zinabidi zianze watengenezea doubt wamalawi ili wengine wajiulize maswali ya msingi.Hata mama mwenyewe naye ajikuta akiangalia upande wa pili wa fikra.
Wao wanatengeneza false belief kwa mama sisi tuna tengeneza sense of doubt kwa kila kitu anacholishwa huko kao, na ikiwezekana Intelligence yetu ije na ushahidi atakaopewa mama.Na jumui ay akimataifa kuwa mama anatumika na mitandao ya kifisadi bila kujijua kwa malengo ya kutengeza faida haramu kubwa.