Malawi watoa cartoon ya baada ya Tanzania kutoa ramani mpya

Malawi waropokaji hawana lolote. Kutegemea wahisani kutoka scotland ndio kiburi chao. Wapuuzeni tu, JWTZ watahangaika nao kama wataleta za kuleta.
 
Hao jamaa kanisani wako katika usingizi mzito.........sijui kwa nini

Cartoon-MW-vs-TZ.jpg
 
Undugu wetu na Malawi ni mkubwa mno hata kuliko undugu wetu na Zanzibari. Zanzibar-Pemba wao wako karibu kiundugu na wakenya. No war between brothers and sisters of same clan

Sure, we are relatives!
 
Let us not make the same mistake our former leader made, let us finish this dispute peacefully. And finish it now, rather than let it drag for future generations.
 
Kwa Cartoon hiyo inamaana RAIS WA TZ ANAONEKANA KAMA MWOGA FLANI EEH?

hapana rais wao ndo ameonekana mwoga na hapa ndio sababu ana wasiwasi hata muso wake unashaka. angalia iko kama vile mama anaogopa kupeleka mkono kumshika mh rais wetu. na usoni ana baki na wasiwasi.

rais wetu kikwete anaonekana jasiri yuko kiraia na kijesh na kashlkilia bastola mkono wa kushoto ambayo ameificha na usoni katoa tabasamu la kumhadaa huyu mama. kiukweli inamdhihaki mama wa malawi and i think they do know tunanguvu kiasi gani za kuwachapa bakora hawa wamalawi.
 
Let us not make the same mistake our former leader made, let us finish this dispute peacefully. And finish it now, rather than let it drag for future generations.
Unalimalizaje kwa amani kama kila upande unashikilia msimamo wake? Labda kama unasema Tanzania ipo tayari kuwaachia ziwa lote wamalawi kama wanavyotaka!
 
aliyeandika habari ile ktk mtandao wa malawi yawezekana akawa si mmalawi,maana maneno aliyoyatumia ni kama vile mtu anayetumika kuchochea mgogoro,labda ni moja ya waandishi wa vibahasha.
yaani hakutaka Mh Rais kikwete na Mama banda wasishikane mkono,kwa kutoa mifano ya wapalestina na israeli
 
Kilichonifurahisha kwenye hii katuni ni kwamba kila Rais yuko upande wake wa ziwa na hakuna anayeonekana kumfukuza mwenzake, which means msanii aliyechora hii anakubali kuwa Tanzania ina nusu yake na Malawi ina nusu yake. Kama mchoraji ni raia wa Malawi basi ni dalili nzuri sana...
 
Hii ndio taswira ya Rais wetu nje ya nchi...nikiunganisha na ile katuni ya wakenya akilambwa miguu na waandishi wa habari na maneno ya mbunge wangu mnyika napata picha halisi sasa.....
 
Lakini ukiangalia hii picha ya Jk ina ujumbe mwingine zaidi.Vazi alilovaa upande mmoja
ni la kijeshi na upande mwingine ni suti.Kwa lugha ya haraka hii inaonyesha kuwa
JK ni mnafiki.Na hili hawajakosea kabisa,haya ndiyo yale mambo ya double standard
tunayolalamika kila siku.Kumbe hata wao wamemshitukia.
 
Maana ya i cant prophesy kwenye kanisa kule nyuma ,ina mlenga mchungaji tb joshua ambako huyu mama banda ana sali huko kwake ikumbukwe huyu jama ndie alitabiri kifo cha mutharika wa malawi,Ila kwa nn wame mvalisha huyo mama rangi nyekundu na sisi kijani/
 
inavoonekana hawana imani na Jk na wanatuogopa sana
yes wameshajua JK ni mtu wa kusmile lakini haaminiki kwao anaweza kuwageuka mda wowote.
wasicheze na Tz nchi yao inaweza kugeuka cossovo ndani ya siku 2
 
kweli JK anafahamika kuwa ni mtu mjanja mjana mpaka anga za kimataifa na mtu mwenye kauli laini laini lakuni,,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom