Malawi waifanyia ujanja tz kupitia google!

Malawi waifanyia ujanja tz kupitia google!

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,392
Ukigoogle jina la ziwa nyasa kwa kiingereza unapata Lake Malawi.
kwa hiyo wasio jua watadhani ziwa nyasa ni kiswahili tu lakini kwa kiingereza ni LAKE MALAWI

Nimecheka sana na kujiona sisi watanzania wa ajabu kabisa

attachment.php
 
Attachments

  • malawi.JPG
    malawi.JPG
    49.3 KB · Views: 1,972
Ukigoogle jina la ziwa nyasa kwa kiingereza unapata Lake Malawi.
kwa hiyo wasio jua watadhani ziwa nyasa ni kiswahili tu lakini kwa kiingereza ni LAKE MALAWI

Nimecheka sana na kujiona sisi watanzania wa ajabu kabisa

attachment.php

Sisi watanzania ni wa ajabu sana? Ebu fafanua! Heading na content yako mbona haviendani?
 
Sisi watanzania ni wa ajabu sana? Ebu fafanua! Heading na content yako mbona haviendani?

vp wewe! maana yangu ni kuwa wa-malawi wameingia katika dictionary ya google na katika weekpedia na kubadilisha maana ya ziwa nyasa wakati wabongo tukijadili mapenzi na siasa.sasa unashngaa nini mkuu
 
Tanzania -Malawi dispute, (from Wikipedia)

The partition of the lake's surface area between Malawi and Tanzania is under dispute. Tanzania claims that the international border runs through the middle of the lake.[SUP][10][/SUP] On the other hand, Malawi claims the whole of the surface of this lake that is not in Mozambique, including the waters that are next to the shoreline of Tanzania.[SUP][11][/SUP] Both sides cite the Heligoland Treaty of 1890 between Great Britain and Germany concerning the border. A wrinkle in this dispute occurred when the British colonial government, just after they had captured Tanganyika from Germany, placed all of the waters of the lake under a single jurisdiction, that of the territory of Nyasaland, without a separate administration for the Tanganyikan portion of the surface. Later in colonial times two jurisdictions were established.[SUP][12][/SUP] In 1954 an agreement was signed between the British and the Portuguese making the middle of the lake their boundary with the exception of Chisamulo Island and Lokoma Island which were kept by the British and are now part of Malawi.[SUP][12]

Kumbe mambo yako wazi hapo ktk red, Asante![/SUP]
 
Ukigoogle jina la ziwa nyasa kwa kiingereza unapata Lake Malawi.
kwa hiyo wasio jua watadhani ziwa nyasa ni kiswahili tu lakini kwa kiingereza ni LAKE MALAWI

Nimecheka sana na kujiona sisi watanzania wa ajabu kabisa

attachment.php

Usijali tutakuwa wa mwisho kujibu mashambulizi
 
Huu ni upotoshaji ukitranslate kwa google wala haisemi hivyo labda utakuwa umedit ili ufurahishe baraza hapa
 
Ni upumbavu wao tu achana nao, kwani lile ziwa kuitwa tanganyika ndio letu lote? hapana, hivyo wanajisumbua tu na wataendelea kuota ndoto ya kumiliki ziwa lote milele daima ila hawatathubutu kuja upande wetu.
 
Hapa sawa na kujisingizia umemgonga demu furan kumbe kakukataa.malawi wana own lile ziwa kuanzia katikati had shoreline yao so na kule hata kwa mujibu wao ndo wanaita lake malawi lakin pia ukija fatilia historia ya nyasa land hutaweza leta stupidy thread kama hii
 
toka zamani tukiliita ziwa Nyasa wao Malawi walikuwa wakiliita ziwa Malawi. Ramani zilizochapishwa kwa watanzania ulizoziona shule zinaonyesha ziwa nyasa. na ramani za wamalawi kwenye shule zao linaitwa ziwa malawi so hakuna mjanja wala mjinga
 
wacha waliite jina lolote, lakini mpaka utabaki palepale
 
vp wewe! maana yangu ni kuwa wa-malawi wameingia katika dictionary ya google na katika weekpedia na kubadilisha maana ya ziwa nyasa wakati wabongo tukijadili mapenzi na siasa.sasa unashngaa nini mkuu

Siasa imekufa Bongo, siku hizi ni mambo ya unga tu na jinsi watu wanavyotajirika kwa kuwa punda.
 
mleta mada achana na fikra za kijima. Jina halina maana, cha maana ni FURSA zilizomo na jinsi ya KUNUFAIKA NAZO. Kama wachina wanavyonufaika na bara linaloitwa Afrika.
Ujanja ni FURSA.
 
Back
Top Bottom