Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
Chanel yetu ya taifa TBC hawarushi???? Naulza
jaribu tu kuangalia mana tbc asilimia 95 wamezoe mipasho. Mi king'amuz cha star time nilikipga moto.
Chanel yetu ya taifa TBC hawarushi???? Naulza
Sijui kuhusu Ryo, Ila kuhusu Campbell, utaifa wake (is it Costa Rica or Colombia) ulihusika! Wakati anasaini arsenal, alikuwa mfugaji bora wa world cup U21, na nchi yake ilikuwa juu at FIFA ranks

campbell alipelekwa kwa mkopo miaka miwili ndo akapata kibal so mkuu kufanya majaribio inawezekana then akapelekwa kwa mkopo