Malawi to overturn homosexual ban


Niliposikia kauli ya Cameroon huko Perth nilishukuru mungu sana because that is exactly the kind of push that we need to sort out our mess. Solutions za matatizo yetu ziko hapa hapa na sio kwa wazungu. But day in day out watu wanatembeza bakuli.

And if I had my way ningewaambia hawa wazungu wawape leaders wetu miezi mitatu 3, 'redifine your morals and accept homosexuality mara moja otherwise, katafute cheque kwingine'. Hii ndio dawa inatakiwa. Push them to the edge tuone kama watasafirisha wanyama hai au wataacha kukusanya kodi.
 
Ni hatua nzuri, although ilitakiwa ifanywe kwa ajili ya haki za homosexuals na sio kwa jili ya kutamani misaada.

Chochote unachofikiria kuhusu homosexuality sio haki kabisa kumfunga mtu kwa ajili hiyo, serikali haina haki kuwachungulia watu wazima wanafanya nini chumbani kwao.
 
Reactions: FJM
Aina ya viongozi ambao wanatawala Afrika..poor Afrika i feel sorry for you...Mama mjinga sana huyu, mwanzoni niliwambia huyu mpuuzi mkubwa ni kibaraka wa Wazungu, hawezi kujitaftia njia ya kuiongoza Malawi ila kwa misaada tu...stupid!!
 
Gavana, soma vizuri title ya post yako. Kuna neno 'abuse' meaning mmoja wa washiriki katika tendo hilo hakuridhia. Hapa hoja ni watu wawili wazima wameamua kwa ridhaa yao wenyewe wenyewe.

Pili, sio kila mtu ni mkatoliki, au sio kila mtu anaamini mambo ya mungu. Wako watu wenye dini na wako wengine wasio na dini yoyote. You can not force your faith kwa watu wengine or even use it as a benckmark to judge others.
 
Last edited by a moderator:


Nimekufahamu vizuri sana , hao mashoga huwa wanaanzwa toka wadogo na mwisho ndio huwa ni vigumeu kwao kuwacha

Mimi nilikutana na jamaa kutokea Croatia ambaye ni shoga na nilipomuuliza kwa nini yuko hivyo alijibu alikwenda Germany tokea mdogo kusomea upadri na kule ndiko jamaa wazee wa kanisa walianza kumtafuna , alipoanza kuwa open na kuanza kuzitoa siri wakamfukuza chuoni. hapo hakuna natural kuna artificial
 


What's artificial? Kwamba huyo mtu wako hakuwa na feelings zozote kwa watu wa jinsia yake? Na amebadili nini hasa kutoka natural kuwa articificial? Kwa mfano, wako wanawake wanaofanya breast implants ili kuongeza ukubwa wa maziwa yao, hapo tunaweza kusema kuna 'artificial' lakini kwa huyu rafiki yako sijaelewa what part of his body did he alter?

Au kama umefuatilia watu wanaotumia ugoro, wapo wanaoweka 'granules' mdomoni (nje kidogo ya meno) lakini wako wengine wanavuta (sniff). Lakini wote wanawinda the same pleasure ya raw-tobacco, the only difference ni kwenye means wanazotumia. Ni yupi kati hao utasema ni natural au ni artificial maana both wana mdono, meno, pua lakini kila mmoja anamua kutumia sehemu moja over the other.

Hivyo hivyo kwenye hii topic ya sexual preference, normal people wana both sides, and kila mtu anajua which side inampa maximum sexual pleasure. Sasa, hii defination ya natural inakuwaje?
 

hakuna kiumbe ambaye hutaka kuf...wa.. mwenyewe kitu hicho labda umekiona wewe .

vijana huanzwa kupigwa burashi , mpaka wanapokuwa wakubwa na uhuru wa kusema ndio wengine utawasikia kutoa hizo siri n awengine ndio hulemaa katika hizo business
 

Noted niece..


Sheria ni kwanini zinawekwa Mwali? Ni sababu ya ku monitor wanadamu walau kutenda yale ambayo yamekubalika ni right and proper kwa ajili ya jamii husika. Na hayo makubaliano yanatokana na kwamba majority ya hiyo jamii yanakubali thou kuna minority ambayo huenda tofauti na at the end of the day wanakua considered ni wahalifu… Sikatai kua hilo swala limepitishwa huku nchi za Kimataifa, ni ya kwao hayo, BUT do they have to force it in nations whose majority of its people consider it a taboo? Reliant on the name of kunyanyaswa? Kwa wale ambao wanataka kitu kipitishwe ndani ya maslahi yao hata kama ni against the law nao pia wataona wananyanyaswa. Ubaya katika jamii upo Mwali… kuporomoka kwa maadili, a catastrophe sasa hivi….


You are rite.. Ila you should note: Dildo is not natural yes, na wala it does not qualify comparing it with anal sex. Ungetolea kwa kugusia mfano wa kula chakula then maybe we would have gotten somewhere...


Mwali my niece, I believe my knowledge on anal sex is as deep as it can get... To me hata married couple wanao practice anal sex are in the wrong and I had mentioned this before huko nyuma, kua sasa hivo tunapozungumzia homosexuality we have to go deeper, sababu the number of homosexuals may even be equal to the number of bisexuals... Ni sawa na kusema kuiba hairuhusiwa na waweza kamatwa na kutiwa ndani. Ila wewe sio mwizi hadi ukamatwe unaiba ama kuwe na uthibitisho...

Upande wa kusema kua wao wanalazimisha not for reasons of the choosen hole but kunyanyaswa... In a way it is some kind of a promotion for it. Atlease that is how I see it..
 

Ukisema hivo FJM ni sawa na kusema hivo vitu viliumbwa kwa ajili ya haja ndogo na having sex is not right. The body parts za kike na kiume ziliumbwa kwa ajili ya hilo tendo na ndio maana kuna fluids, na ndio maana akaubwa mwanaume akiwa na kitu ambacho kuweza timiza haja zake ni lazima aweze muingia mtu (not just any hole); na ndio maana akaumbwa mwanamke with an entry.
 
Last edited by a moderator:
Banda will soon come to grips with the truth. The west is broke. Stone Broke and it is time the Likes of Banda stopped wasting time seeking cheap popularity with the west. Africa needs roads , electricity, water , and such infrastructure that would help Africans increase their productivity.

The west will keep introducing **** such as support for gays in a bid to avoid funding Africa's development. So dear Banda, don't repeal laws to spite your predecessor. Lead the country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…