Watu watano wameuawa nchini malawi kwa kutuhumiwa kuwanyonya watu damu na kunywa damu hiyo kutokana na imani za kishirikina,Taarifa zilizopo watu hao walianzia nchi jirani na serikali mpaka sasa imepiga marufuku watu kutembea usiku.Angalizo kwa watanzania wenzetu mliopo huko na mnaotegemea kwenda huko.