malavidavi hadi kwenye dala dala

malavidavi hadi kwenye dala dala

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
997
Reaction score
481
wadau nipo kwny dala dala natoka tandika naelekea kariako 2po kwny foleni ya taa hapa chang'ombe shell lakini huwezi amini kuna jamaa yupo na demu wake cti ya nyuma wanashikana na hatari zaidi kuna muda wamepigana denda kuna abiria 1 kawaambia ukweli kuwa wanavyofanya sio vizuri wamemjibu hayamuhusu,ama kweli utandawazi unazidi kuliangamiza taifa letu.
 
Mkuu nadhani kuna information umeruka katika maelezo yako haya. Kina nani wameambiwa ukweli? Ulichosema tu ni kuhusu safari yako kutoka Tandika kwa njia ya daladala na sasa uko kwenye mataa Chang'ombe. Malavidavi yako wapi?
 
eleza kama mzawa wanafanya nini? malavidavi gani? kama kushikana kiuno tuu haina mashiko au wanagusanisha ndimi? ngozi nyeupe/wazungu au ngozi nyeusi/waswahili?
 
walikuwa wanatomasana na baadae wakalana denda ndani ya dala dala yaani we acha 2 m2 wng
 
huu utandawizi unawaharibu watu ubongo,nahisi baadhi ya watu wamewekewa ubongo wa kichina..........hata mimi nishawahi kupanda DCM hiyo couple ikaanza malovee humo ndani afu ukiwatizama watu wenyewe hawana hata mvuto wa kutazamwa mara mbili lakini wamo tu,,,,,,,sura zimekomaa,mabonge nyanya,hiyo rangi ya ngozi ndo usipime.....hata sikuwarudia tena maana walinikata stimu kabisa.Sijui sisi wabaya huwa tunajikuta tunalipa kuliko mtu mwingine..........tabia mbaya sana kwani wakishuka wakakodi chumba au wakafika nyumbani hcho kinu na mwichi vitakua vimehama au ni ushamba.:boxing::boxing:
 
Cjakuelewa kabisa... Nyoosha maelezo yako Kivipi sasa hayo malavi davi kwenye daladala?
 
wadau nipo kwny dala dala natoka tandika naelekea kariako 2po kwny foleni ya taa hapa chang'ombe shell lakini huwezi amini kuna jamaa yupo na demu wake cti ya nyuma wanashikana na hatari zaidi kuna muda wamepigana denda kuna abiria 1 kawaambia ukweli kuwa wanavyofanya sio vizuri wamemjibu hayamuhusu,ama kweli utandawazi unazidi kuliangamiza taifa letu.

Jamaa ananawa kabisa?
 
mbona kawaida tu,marekan watu wanakulana denda mitaani tena mchana kweupe,tena kwenye mikusanyiko ya watu
 
kama walikaa siti ya nyumba mnawachungulia ili iweje,nyie angalien mbele kwa dereva
 
wadau nipo kwny dala dala natoka tandika naelekea kariako 2po kwny foleni ya taa hapa chang'ombe shell lakini huwezi amini kuna jamaa yupo na demu wake cti ya nyuma wanashikana na hatari zaidi kuna muda wamepigana denda kuna abiria 1 kawaambia ukweli kuwa wanavyofanya sio vizuri wamemjibu hayamuhusu,ama kweli utandawazi unazidi kuliangamiza taifa letu.

Mkuu tupia picha ya hilo tukio hapa tuone
 
mbona kawaida tu,marekan watu wanakulana denda mitaani tena mchana kweupe,tena kwenye mikusanyiko ya watu

uweshasema marekani,na hapa ni bongo hunioni tofauti hiyo?kusoma hujui lakini ata picha huoni?
 
Mbona normal sana tena wapo siti ya nyuma

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kibaya chako kizuri kwa mwenzio!!
 
Ingekuwa ni huku kwa wenzetu, hiyo ni kawaida sana,lakini kwa Bongo jamani bado ila ndiko tunakoelekea!
 
ushamba tu huo....ila mimi naziona hata kwetu huku hospitali....naona ni-ushamba flani hivi tu...
 
huu utandawizi unawaharibu watu ubongo,nahisi baadhi ya watu wamewekewa ubongo wa kichina..........hata mimi nishawahi kupanda DCM hiyo couple ikaanza malovee humo ndani afu ukiwatizama watu wenyewe hawana hata mvuto wa kutazamwa mara mbili lakini wamo tu,,,,,,,sura zimekomaa,mabonge nyanya,hiyo rangi ya ngozi ndo usipime.....hata sikuwarudia tena maana walinikata stimu kabisa.Sijui sisi wabaya huwa tunajikuta tunalipa kuliko mtu mwingine..........tabia mbaya sana kwani wakishuka wakakodi chumba au wakafika nyumbani hcho kinu na mwichi vitakua vimehama au ni ushamba.:boxing::boxing:

Vipi kama wakiwa kwenye gari yao alafu wamepaki kama beach hivi alafu wakawa wanafanya hayo mambo ya utandawizi?
 
Kawaida mbona wengine wanatembea mitaani wanashikana viuno hamsemi saizi ni kawaida tu.
 
Back
Top Bottom